Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Heb taja investment yoyote hapo kenya ysnye you bragging of having them yenye si mali ya foreigner. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hadi mashamba kwenu ni mali za watu weupe.. hilo taifa vichaa.?
Yaani huu muda wote unasema vitu haujui??
Taja hao wazungu wanatawala Kenya tuone, wacha upuuzi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yaani huu muda wote unasema vitu haujui??
Taja hao wazungu wanatawala Kenya tuone, wacha upuuzi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Taja mradi hata mmoja hapo kenya wemye si mali ya mtu mweupe mgeni .. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mana nikiamua kutaja nitataja miradiym ya karibu taifa zima. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unalazimisha umiliki nyoko wewe? Sportpesa Kenya is only 48% Kenyan owned huwezi ku-claim its Kunyan! So is Equity Bank!
 
Hao wote ni warabu. The reason they are in Taznania currently is because mmelala, siku watanzania kamili wataamka na kuanza kufanya biashara wanafanya utaona wakikiambia wote na kurudi makwao.
 
We kichaa? Unatuuliza sisi badala sisi tukuulize wewe iweje kule kakuma refugees camp kuna more than 30% ya wakenya wako registered na wanakula misaada. Usije kushangaa hata wewe ni mnufaika au hata ndugu yako mana 30% ya wakenya 65m sio mchecho.
Kakuma camp is being run by the United Nations. Kenya ni wenyeji tu. Hiyo swali peleka UN. They have their African office here in Nairobi. You can come anytime you want
 
This guy has got you by the balls, no wonder you sing his praises and promote Azam here, to the point you actually think that Kenya is surviving on Azam products kumbe sio kupenda kwenu, its all you know

View: https://vm.tiktok.com/ZMkQv6DsW/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…