Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Just imagine kaka wanavyojiita East Capital,kumbe more than a half wanaishi kwenye slums nchi nzima,aibu sana!
 
Kwamba Wakenya zaidi ya nusu wanaishi Kibera and the likes? Hii list ni biased,itakuwa katengeneza Mtanzania maanake Tanzania haipo na Dar nzima tunaambiwa ni slum!
Na vile wanaringa na kiingereza nyingi kumbe ikifika jioni wanaenda kulala kwenye mabanda ya nguruwe🀣🀣
 
budda haijalishi imezima hata mara mia mbili sisi tunachojua tuna treni ya umeme ist an sentro africaaa
haya tunyeshe treni yenu ya ummeme πŸ™„πŸ™„
Treni ya umeme ushuzi wa bata πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mtu hawezi fahamu kwamba kitu kimezima zaidi ya 20 times πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa hivi zimelala pale Pugu na Dodoma. Kesho saa 0500 vyuma vinaanza kufyonza umeme huku vinasogea kwa 160+kph.
Wewe kesho ukiamka vua nguo inama ukinuia zizimike njiani. Ndio faraja uliobaku nayo maana jiko la kuni huwezi kulibadili kuwa la umeme.
 
Sasa hivi zimelala pale Pugu na Dodoma. Kesho saa 0500 vyuma vinaanza kufyonza umeme huku vinasogea kwa 160+kph.
Wewe kesho ukiamka vua nguo inama ukinuia zizimike njiani. Ndio faraja uliobaku nayo maana jiko la kuni huwezi kulibadili kuwa la umeme.
Usinililie mimi, kitu lazima kipewe mwarabu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
I see kwa kuflash Ubongo mko poa,
Wazee wa kujisifia baada ya kupata kastadium kwa kudra za CAF. Can't you get belittling?

Au ndo kukomaza fuvu?
Learn how to compose sentences my guy. Why are you all over the place?
Even grammar is becoming a problem? How do you interact with folks who don’t understand your mother tongue cause bruh i can barely figure out what you’re trying to communicate!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…