Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I swear to you with everything that I will wire you $100 immediately if you post the following….”CCM has been a regressive party in suppression of Tanzanians rights to freedom of expression. It’s a one party dictatorship to the core and Mama is not the solution to that problem but part of the status quo”…. I dare you do that and $100 is yours upfront … 😄😄.. don’t forget to sign your name..😜 #CCMchallenge 😁
Wewe unarudishwa utake usitake, jiandae kisaikolojia. Huipendi nchi yako and yet huko hapa kwenye hii battle, tukutane Mukuru kwa njenga soon next month 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 

Sasa unatuletea watu 10 tu. Je, akina Nicxie na wenzake wanafanya nini huko USA? 🤣 🤣 🤣 Lazima panga la kufukuzwa liwapitie they do not have any profession to make them stay in the US

Kenya is a failed Country

 
The kind of things you post here defy logic. Yani kisa Cha moto shuleni ni kitu Cha kupost?

You fools are so obsessed with Kenya you forget you have a country to worry about

Kijana umeangalia hata tarehe za hizo links?

Au ndio akili zako zimegotea hapo, sitashangaa mkileta maporomoko ya Hanang tena licha ya kuwekewa nyumba mpya walizojengewa maana mpo vizuri kuflash Ubongo imagine mna vidata uchwara toka uzi huu unaanza mnavirudia rudia kila kukicha.
 
Don't say we have been brainwashed, just challenge the authenticity of any statement.
I say so because you make unrealistic claims
Okay lest start with no 1.
When you say it initiated and championed against colonialism in Africa, how is it unique since nearly each country had a party that did the same?
2. The only political party that succeeded in winning the war against racial and ethnic discrimination, REALLY?
3 & 4 also don’t make sense 😂😂
 
Back
Top Bottom