Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

New CBD in the making ,NCC Link Dodoma HQ

View: https://www.instagram.com/p/DFFqxAENR5P/?img_index=19&igsh=MTJ2OGN6cWp3ampxag==
20250121_165931.jpg
20250121_165936.jpg
 
Kirefu cha KANU = Kenya African National Union
And KANU ni chama cha siasa cha Kenya na siyo cha Tanzania 🤣 🤣 🤣 🤣

Kama hamkitaki KANU chama chenu huko kenya has nothing to do with Tanzania
Hawawezi kukuelewa mbwa hawa. Hawajui maana ya uamuzi wa mtu. Wanajifanya wanajua demokrasia lakini kitu kidogo tu kama kujua kwamba kila mtu ana maamuzi yake kwenye demokrasia, na maamuzi ya kila mtu lazima ya heshimiwe, hawajui!!

Achana nao!!
 

Ila Kenya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yani kuna watu wameona maisha magumu ikabidi wajichanganye kwenye refugee camps, sasa wanabisha nn kwamba wale maombaomba wa Nairobi na miji mingine kule Kenya ni wakenya wenzao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Unaambiwa walifanya utafiti kuhusu maombaomba wakagundua woteee ni wakenya na wengine ndiyo hao wamegundulika kwenye refugee camps, the next refugee mwaiofhawaii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hawa wakenya ni maskini wakutupa kabisa aiseeee, wanatia kinyaa 🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮
 
Nikama wanadhani Kenya inashare border na US thus there are thousands of undocumented immigrants. 🤣 🤣 🤣 Hapa hua tunadeal na mafala.
Even if we shared a border with the US, we would never emmigrate there illegally en masse. Kenyans have never been known to be illegal immigrants. If you find a Kenyan in a foreign country, he is there legally. Wasidhani sisi ni kama wao wamejaa SA illegally wanauza drugs.😂
 
Even if we shared a border with the US, we would never emmigrate there illegally en masse. Kenyans have never been known to be illegal immigrants. If you find a Kenyan in a foreign country, he is there legally. Wasidhani sisi ni kama wao wamejaa SA illegally wanauza drugs.😂
Na Gikomba wakiuza bed sheets na usisahau omba omba wao pia wamejaa huku. 🤣🤣🤣
 
Btw tukiamua tudeport illegal immigrants na wao pia wadeport ni wao wataumia.
😂😂😂 pole sana. Ni nyinyi ndio mtaumia sana punda nyie, watanzania wengi huko kwenu ni wafanya biashara ima ndogo ndogo au kubwa kubwa so they can survive anywhere, Kunyans huku bongo ni wafanya kazi za kuajiriwa wakirudi huko kwenu wanakua job bless. 😂😂😂.
 
Na Gikomba wakiuza bed sheets na usisahau omba omba wao pia wamejaa huku. 🤣🤣🤣
Uliza wabunge wenu wana majibu ya kutosha kuhusu maombaomba waliotapakaa Kenya, and the recent article kuhusu wakenya kujiandikisha kama refugee ndiyo inazidi kuwavua nguo, nyinyi wakenya ni maskini sn, hata hii thread naipa mwaka itakuwa imekufa cz hakutakuwa na battle hapa.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 Imported from Chaina
Which is better , buying a robot from China with your own money or accepting a whole stadium for free from China… 🤪😂😂😂… take your time and analyze before responding…😁😁
 
Hadi ametaja South Sudan. South Sudan yenye Garang Hadi Leo familia yake inaishi Nairobi na wakachukua bendera inayofanana na ya Kenya yet hutoskia Mkenya akisema tuliikomboa South Sudan halafu mbongo anakwambia walikomboa SS. Hawa jamaa bana. Halafu watasema sisi ndio wapenda sifa.😂😂
John Garang amesomeshwa na kodi za Watanzania tangu secondary school up to University in Tanzania na mafunzo ya kijeshi kapata Tanzania pia.
 
Back
Top Bottom