Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,174
- 107,754
Add this one too...CAF sio wajinga kusongesha mbele CHAN, views kama hizi ni muhimu kwa TV ratings.View attachment 3204276View attachment 3204277View attachment 3204278
Wao wanajivunia Talanta Stadium na vigorofa vya Nairobi 😆😆cc ni miradi ya kimkakatiMsumari mwingine huu unaenda kuwalomba kunyan
Ushamba mwingi wale,viwanja vinavyojengwa tunavyo na maghorofa yapo,ila kwetu hivyo vitu ni kawaidaWao wanajivunia Talanta Stadium na vigorofa vya Nairobi 😆😆cc ni miradi ya kimkakati
Wana tabia za kujifanya Wakenya ndio waiponde Kenya so wanadhani pia sisi tuna hizo tabia zao. Kenyans do not fear to speak out, when a Kenyan speaks he never hides behind another nationality.Utasikia eti hayo ni maandishi ya mkenya 😂😂😂😂
Kabla zilikua wapi nyie matajiri? Yaani mpaka mshikiwe fimbo na CAF? Wakati timu yenu inaomba magetto igongwe mlikua wapi? Ndio mmepata leo eti taa matako mbwata mbwataCAF sio wajinga kusongesha mbele CHAN, views kama hizi ni muhimu kwa TV ratings.View attachment 3204276View attachment 3204277View attachment 3204278
Exactly, and we don't live in denial like some people I knowWana tabia za kujifanya Wakenya ndio waiponde Kenya so wanadhani pia sisi tuna hizo tabia zao. Kenyans do not fear to speak out, when a Kenyan speaks he never hides behind another nationality.
Kuna watu wamejaa kijiba cha roho wakisubiri hitlafu tukiwaambia kipande bado mkandarasi anaendelea na kazi wabishi
View: https://www.youtube.com/watch?v=bXiEeL5JMAQ