Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Zimmerman from above. Looking way better and organized than the uswazi hovels surrounding Makwapa Stadium
Screenshot_20250116-130143.png

In the foreground is part of Kasarani estate. In the far end past Zimmerman is Kahawa West and parts of Githurai 44
 
The kind of development going on in Kisumu is insane.

A marina is coming up in Kisumu, something that hata Dar haina. I don’t want to include Mwanza in that conversation juu najua hawatawai kuwa nayo.

LV Marina to be launched Tomorrow.
1737129266228.jpeg
 
kadogosa alisema kukitokea itilafu mtu wa control center Dar anaweza kuona na ni kwa njia nzima! Imekuwaje?
Ni sahihi alikuwa sawa kabisa. Kuna mfumo wa signalling na schedule ya Train hii inapatikana control center kuanzia DSM to Mwanza unaweza kuona kila kitu.

Hii watchdog ni kuongezea kwenye mambo ya safety, security na surveillance. Kwamba hata kama njia ina inaonekana hakuna loco inatemebea, yawezekana kuna mahali umeme haufiki vizuri. Ndio wana fanya installation ya mfumo mpya huo kuongezea ulinzi na udhibiti... Mfumo unatoa notification na signal at exact place ambako kuna changamoto na nature ya changamoto, hivyo team ya ufundi inafika fasta ku rescue situation.
 
Zimmerman from above. Looking way better and organized than the uswazi hovels surrounding Makwapa Stadium View attachment 3204559

In the foreground is part of Kasarani estate. In the far end past Zimmerman is Kahawa West and parts of Githurai 44
Kama Torabora mwanangu, ila Africa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ni sahihi alikuwa sawa kabisa. Kuna mfumo wa signalling na schedule ya Train hii inapatikana control center kuanzia DSM to Mwanza unaweza kuona kila kitu.

Hii watchdog ni kuongezea kwenye mambo ya safety, security na surveillance. Kwamba hata kama njia ina inaonekana hakuna loco inatemebea, yawezekana kuna mahali umeme haufiki vizuri. Ndio wana fanya installation ya mfumo mpya huo kuongezea ulinzi na udhibiti... Mfumo unatoa notification na signal at exact place ambako kuna changamoto na nature ya changamoto, hivyo team ya ufundi inafika fasta ku rescue situation.
Signalling inapaswa kuonyesha any defect on the whole system pia!
 
Back
Top Bottom