Wasomali ni wakenya, nyinyi munatawaliwa na wachina.Nyie Kenya kila siku mnalia na wasomali kutawala msoko yenu yote na big business huku dada zenu wakiwa mahousemaid
Wasomali ni wakenya, nyinyi munatawaliwa na wachina.Nyie Kenya kila siku mnalia na wasomali kutawala msoko yenu yote na big business huku dada zenu wakiwa mahousemaid
"Like Mombasa" kwani umeona nyumba ya udongo hata moja?It’s like a Mombasa mini me without Uswazi ..😁
Makenya yalivyo masenge badala yaumizwe na vitu vinavyoleta maendeleo ya kweli yenyewe yanaumizwa na cosmetic projects like that.Masaki inaaenda vertical indeed. 👇🏾so many high rise buildings buda View attachment 3204031View attachment 3204032View attachment 3204033View attachment 3204034View attachment 3204035View attachment 3204036U/C projects. 👇🏾View attachment 3204038View attachment 3204039View attachment 3204037very beautful ofgice building 👇🏾View attachment 3204040
Masaki ni bora East and Central Africa co tu Tanzania, but have you ever heard about Mbweni?Alafu imagine that's the best neighborhood in the whole of Tanganyika 😂😂😂
Hakuna iliyo bora kuzidi Masaki. Apartments everywhere, giving you vibe ya Lavington or Kileleshwa
Sisi hatuwezi tawaliwa na wachina hata siku moja ila wasomali ni wasomali tuWasomali ni wakenya, nyinyi munatawaliwa na wachina.
Of course it's the best according to you and your fellow countrymen here. If I asked you to provide evidence anywhere that it's the best, utabaki na vihoja zenu za Kila siku. You won't be able to prove anythingMasaki ni bora East and Central Africa co tu Tanzania, but have you ever heard about Mbweni?
Wachina ndio wanatawala Kariakoo sahii.Sisi hatuwezi tawaliwa na wachina hata siku moja ila wasomali ni wasomali tu
Hizo story za jaba njoo ujionee mwenyewe jinsi sisi wazawa tena si wanasiasa kama huko kwenu tunavyocontrol biashara kariokooWachina ndio wanatawala Kariakoo sahii.
🤣 🤣 🤣Hizo story za jaba njoo ujionee mwenyewe jinsi sisi wazawa tena si wanasiasa kama huko kwenu tunavyocontrol biashara kariokoo
🤣 🤣 🤣Hizo story za jaba njoo ujionee mwenyewe jinsi sisi wazawa tena si wanasiasa kama huko kwenu tunavyocontrol biashara kariokoo
Majitu mapumbavu unayajua tu bro. 😂😂😂Hiyo ndo Nini ?
Si nyinyi wote wasoshiolisti?! 🤣🤣Kwani habari kama hii wewe inakupa ujumbe gani? Hapa ni wazi kuna raia wa Kichina wanaishi/kufanya biashara illegally. Yaani sheria haiwaruhusu ila kwasababu Wachina wengi ni watu wasijali utaratibu wanafanya vitu wasivyoruhusiwa kufanya. Hawa ni raia wanazijulisha mamlaka kusimamia sheria. Na si Kariakoo tu, sehemu nyingi Wachina hawafuati utaratibu.