Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

usidanganyrike na tools za mtandaoni haya hiyo yako imeleta umaskin wa 16% na hii je
View attachment 3203012
View attachment 3203013
this tools will never be effctive only actual data na data zinapatikana kwenye report kama hi, otherwise unakataaa taarifa toka serikalini kwenu
Sijakataa hiyo taarifa, I’m only trying to show you that even with our 39% poverty rate, Tanzania is still way ahead of Kenya with 45% according to World Bank.

IMG_1068.png
 
Najua hampendi kukubali ukweli. Data imekuwa released on October 2024 alafu bado mnataka kupinga😅😅🤣😂👇👇

View attachment 3203016
Good luck trying to prove your point with data hapa sokoni
Kuna mzee amekuna tu vizuri balls, akanusa then he went ahead kuprove kuwa uganda na tanzania wanashinda kenya kwa amount of mobile money transfers 😂😂😂
IMG_9867.jpeg
 
Sijakataa hiyo taarifa, I’m only trying to show you that even with our 39% poverty rate, Tanzania is still way ahead of Kenya with 45% according to World Bank.

View attachment 3203024
Hii taarifa yako enyew inakuumbua mzee. Kwasababu hii taarifa inaeleza wazi most recent datas za PPPs ni za mwaka 2017-2018. Na imeeleza pia most recent World development indicators (WDI) ni data za mwaka 2022 yaani hizo taarifa za umaskini wa 44%. Sasa je leo ni mwaka gani.?😂😂😂
 
Imeandikwa hapo 2023. Ama ni lini Tanzania ilikuwa na GDP ya $78B?

View attachment 3203026
hiyo imeandaliwa kwa ajili ya kuforecast tu na amespecify data zilizotumika ni za miaka ya 2016 na 2017 kwa ppp na akatuumia wdi value za mwaka 2022 kufanya estimates na akatumia IPR ya mwaka 2018 ambayo ndo iko posted kwenye website ya WB mpaka leo labda utuambie kama posted IPR ya WB imebadilika lini?
 
Hili ni chapisho la mwaka 2023. Na limeeleza wazi refference zake ni data za 2017-2018 na zile za 2022 za WDI. wewe unacholazimisha nini mkuu.? 😂😂
Hii taarifa yako enyew inakuumbua mzee. Kwasababu hii taarifa inaeleza wazi most recent datas za PPPs ni za mwaka 2017-2018. Na imeeleza pia most recent World development indicators (WDI) ni data za mwaka 2022 yaani hizo taarifa za umaskini wa 44%. Sasa je leo ni mwaka gani.?😂😂😂
 
Hii taarifa yako enyew inakuumbua mzee. Kwasababu hii taarifa inaeleza wazi most recent datas za PPPs ni za mwaka 2017-2018. Na imeeleza pia most recent World development indicators (WDI) ni data za mwaka 2022 yaani hizo taarifa za umaskini wa 44%. Sasa je leo ni mwaka gani.?😂😂😂
na huwez calculate poverty rate kwa linganisha data zenye difference ya almost 5 years
 
Hii taarifa yako enyew inakuumbua mzee. Kwasababu hii taarifa inaeleza wazi most recent datas za PPPs ni za mwaka 2017-2018. Na imeeleza pia most recent World development indicators (WDI) ni data za mwaka 2022 yaani hizo taarifa za umaskini wa 44%. Sasa je leo ni mwaka gani.?😂😂😂
Kwani tulikuwa tunaongelea PPP ama Poverty index? Mbona akili yako inazima kama ya mzee hivi?
 
hiyo imeandaliwa kwa ajili ya kuforecast tu na amespecify data zilizotumika ni za miaka ya 2016 na 2017 kwa ppp na akatuumia wdi value za mwaka 2022 kufanya estimates na akatumia IPR ya mwaka 2018 ambayo ndo iko posted kwenye website ya WB mpaka leo labda utuambie kama posted IPR ya WB imebadilika lini?
How can you predict 2023 in 2024? Akili yenu inawasaidia kweli?
 
Kwani tulikuwa tunaongelea PPP ama Poverty index? Mbona akili yako inazima kama ya mzee hivi?
Zote zimeelezwa humo au huelewi hiyo WDI inamaana gani.? 😂😂 haya tusaidizane kutoa ujinga. 👇🏾
IMG_3761.jpeg
hili chapisho limeeleza vitu vyote hivi 👇🏾
IMG_3762.png
source za hizo taarifa wakasema wamezitoa WDI ambao na wenyewe wanasema most recent data ni za miaka hii. 👇🏾
IMG_3762.jpeg
wewe unaendelea kubishana bado.? 😂😂😂
 
How can you predict 2023 in 2024? Akili yenu inawasaidia kweli?
Usisumbue mahakama mkuu.. pita huku 👇🏾😂😂
Zote zimeelezwa humo au huelewi hiyo WDI inamaana gani.? 😂😂 haya tusaidizane kutoa ujinga. 👇🏾View attachment 3203029hili chapisho limeeleza vitu vyote hivi 👇🏾View attachment 3203032source za hizo taarifa wakasema wamezitoa WDI ambao na wenyewe wanasema most recent data ni za miaka hii. 👇🏾View attachment 3203033wewe unaendelea kubishana bado.? 😂😂😂
 
hawezi jua alete hata hiyo link kutoka world bank maana hakuna latest report iliyokuwa posted kwa mwaka 2024 kuhus tanzania
 
Back
Top Bottom