Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata tukiangalia real time Poverty Clock bado Tanzania has more people living under extreme Poverty than Kenya.

IMG_1070.jpeg
IMG_1069.jpeg
 
Nenda ukalilie World Bank. So in 2018 GDP ya Tanzania was$78B? Ama hiyo nayo hutaki kuongelea since it doesn’t bother you? Tunajua huwa hampendi kuambiwa ukweli.

View attachment 3202963
leta actual data hiki ulicholeta ni estimates za miak,a ya nyuma ambazo zimetumika kufanya forecasts na hiyo inatokana na world bank kuto update taarifa zo toka mwaka 2016
1736971383646.png

na kwa taarifa uliyolet hapa sio report toka world bank ila nao wamechukua tarifa na hata ukiangalia kwenye source yao the most recent ppp( purchasing power parity imetuhmika ya mwaka 2017 na 2018 na wdi ( wordld development index value niya mwaka 2022 )
hiki ulicholeta ni estimates kalale .
na kilicholetwa na kenyan bearue of statistic ni actual data
 
leta actual data hiki ulicholeta ni estimates za miak,a ya nyuma ambazo zimetumika kufanya forecasts na hiyo inatokana na world bank kuto update taarifa zo toka mwaka 2016
View attachment 3202983
na kwa taarifa uliyolet hapa sio report toka world bank ila nao wamechukua tarifa na hata ukiangalia kwenye source yao the most recent ppp( purchasing power parity imetuhmika ya mwaka 2017 na 2018 na wdi ( wordld development index value niya mwaka 2022 )
hiki ulicholeta ni estimates kalale .
na kilicholetwa na kenyan bearue of statistic ni actual data
Unajua penye offices za World Bank ziko?
IMG_1068.png
 
Hata tukiangalia real time Poverty Clock bado Tanzania has more people living under extreme Poverty than Kenya.

View attachment 3202988View attachment 3202989
usidanganyrike na tools za mtandaoni haya hiyo yako imeleta umaskin wa 16% na hii je
1736972707125.png

1736972765459.png

this tools will never be effctive only actual data na data zinapatikana kwenye report kama hi, otherwise unakataaa taarifa toka serikalini kwenu
 
Attachments

We umechizi? Hata wewe unakubali hio report? MPesa transactions alone in 2024 were 33 billion.(number of transactions sio amount)
Amount transacted was 35 tn in 2023 and 40trillion KES in 2024 which is about $310 Billion
Mind you this is just safaricom, not total mobile money transfers this is just Safaricom Mpesa, kuna zingine
Safaricom M-PESA
Airtel Money
Telkom Kenya
Finserve Africa Limited (Equitel)
Viewtech Limited (Sasapay)
Web Tribe Limited (JamboPay)
Tanda Agent Limited
Cellulant Kenya Limited
Pesapal Limited
Loop Payco Limited

Mjidanganye tu hapo bila ku verify information
IMG_9864.jpeg
IMG_9866.jpeg

IMG_9865.jpeg

Here is the document from safaricom if you want to verify
 
Back
Top Bottom