Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nusu ya wakundustan wanaogelea kwenye uchochole wa ufukara according to kasongo yeye government 😂🤣

View attachment 3202938
Kwamba 39% ni nusu ya wakenya?🤣🤣🤣🤣
Kama 39% ni nusu ya wakenya 42% as of 2024 itakuwa what fraction of Tanganyikans?
Screenshot_20250116-075612.jpg

Tanzanians stop being desperate. Start working on the high poverty rates in your country
 
Ila Kunyaland ni mkusanyiko wa vilaza kweli, sgr ni mali ya mchina mpaka miaka 60 ijayo wachina wamegoma kutoa cent kuendeleza sababu wameona ni white elephant already, wanahangaika kutafuta third party kuendeleza kitu mwenye mali kagoma, sasa UAE watajenga upya kutoka Mombasa sababu mchina hawezi kuruhusu huu upumbavu

View: https://www.instagram.com/p/DE2hqpQiKNL/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==
 
Kwamba 39% ni nusu ya wakenya?🤣🤣🤣🤣
Kama 39% ni nusu ya wakenya 42% as of 2024 itakuwa what fraction of Tanganyikans?View attachment 3203238

Tanzanians stop being desperate. Start working on the high poverty rates in your country
Tunajua kasongo nae hawezi kuwa that loyal atoe truthful reality so tuna assume 10% kazificha mahali thus nusu yenu ni mafukara, huhitaji rocket brain kujua hili
Screenshot_20250115-145531.jpg
 
Tunajua kasongo nae hawezi kuwa that loyal atoe truthful reality so tuna assume 10% kazificha mahali thus nusu yenu ni mafukara, huhitaji rocket brain kujua hili View attachment 3203249
Nimekushika kende zako sasa unatapatapa kama kawaida yenu.

Shugulikeni na umaskini uliokithiri kwenu muache kushugulika na ya jirani. I told one of you yesterday that most of you here don't have the muscles to challenge me in this forum on FACTUAL matters. Ona Sasa hata wewe umeanza kuropokwa. 39% will never be big than 43%. Umesikia bongolala?
 
Wewe lia ukichoka utanyamaza mwenyewe 😁😅😂

Screenshot_20250115-145531.jpg
 
Characteristics of a poor country 😆😆😆👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DEzR5VAoCEc/?igsh=bTk0dGVrMXl0cHY4

Vs

Features of Developed Country and EAC powerhouse 👇 👇

View: https://x.com/InvestTanzania/status/1879021868046246270?t=RXQJeSC6-WVscsKkXDDL4w&s=19

Poor countries huwa wana struggle na alot of things. Dekayed salaries, delayed salary increments and promotions, shortage of medicines, workers strikes, abductions, rampant corruption, wanton stealing of public funds, political patronization the list is long.
 
Kwamba 39% ni nusu ya wakenya?🤣🤣🤣🤣
Kama 39% ni nusu ya wakenya 42% as of 2024 itakuwa what fraction of Tanganyikans?View attachment 3203238

Tanzanians stop being desperate. Start working on the high poverty rates in your country
Hizo ni estimation Watchman, jifunze kusoma data that's why you are confusing yourself, mara 44% mara 42% wakati most recent data ni hizi 👇👇
Screenshot_20250115-150738~2.png

Alafu kwanza ni kitu gn kinakufanya usiamini kwamba mna idadi kubwa ya maskini kuliko Tz? Mbona indicators zipo wazi kabisa, lack of employment, lack of food, percentage of Kenyans who are fleeing their motherland country, trade decline, Government failure to fund projects, just to mention a few, unabisha nn sasa hapo.
 
Back
Top Bottom