Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kulingana na taarifa ya 2017 kwa hiyo english pamoja na mnajifanya mnaijua bado huwez tafsiri hiki
View attachment 3202954
Nenda ukalilie World Bank. Actually Tanzania has added 1M more poor people to the 2020 WB data which was 28M poor Tanzanians.

IMG_1068.png
 
estimation unaelewa maana yake
View attachment 3202957
mahesabu ya forecast6 yamefanywa kwa kulingana na actual data za mwaka 2018 au hujaelewa nini hapo. leta actual data za kuanzia 2022 sio forecasts
Nenda ukalilie World Bank. So in 2018 GDP ya Tanzania was$78B? Ama hiyo nayo hutaki kuongelea since it doesn’t bother you? Tunajua huwa hampendi kuambiwa ukweli.

IMG_1068.png
 
haha nyangau kumbe hata statistics kwenu imekuwa mtihani, nyangau kuna tofaut wa foecasts na actua data
Bro unajua penye ofisi za WB ziko? Kama hujui naezashare with you their email address to share your concern regarding their their Tanzania poverty report of 2024.

IMG_1068.png
 
Back
Top Bottom