Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Habari ya ATCL wadau? 🤣🤣🤣🤣
FB_IMG_1736945635493.jpg
 
Ukitaka mbishane siku nzima muambie nchi yao ina masikini wengi na slums nyingi. 😂😂😂

PhotoGrid_1605162481588.jpg
 
Ni wapi ulisoma kwamba Talanta is being built to host Chan?

Talanta is being built specifically for AFCON and is slated to be ready by December this year according to the contractor and going by these images, it will surely be ready in Dec, almost two years ahead of AFCON View attachment 3202454View attachment 3202456View attachment 3202460View attachment 3202461
Ngoma jua kali hii, uwanja umeanza kujengwa mwaka jana mwishoni zen mwaka huu umeisha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Uoni supermarkets,nimekutoa akili hapo ila elimu ndogo huwezi kuelewa,TZ hatuna supermarket kama hiyo,tuletee bus terminal kama ya magufuli huko kwenu,kila nchi ina strategies yake,ni kawaida cha huku kutokuwepo kule
Hawa jamaa huwa wanachekesha sana.
 
Leo watapotea kidogo halafu watarufi kesho kwa kuchungulia 🤣🤣🤣🤣
Tupotee wapi wakati ukweli ndio hii hapa?!
PhotoGrid_1605162481588.jpg
 
Tupotee wapi wakati ukweli ndio hii hapa?!
View attachment 3202615
News ya Miaka 6 iliyopita. Sisi tunaongelea news ya 2025 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇

1736953227589.png



Kenya’s poverty rate stands at 39.8%, says National Bureau of Statistics (KNBS). This is the East African Community poverty rate picture:
Somalia: 70%
(R Congo): 63%
Burundi: 56%
Kenya: 39.8%
Uganda: 37%
Tanzania: 26%
Rwanda: 25%
 
Unafikiri sisi wakenya ni kama nyinyi mnaolazimisha mambo?

Hizo
Tupotee wapi wakati ukweli ndio hii hapa?!
View attachment 3202615
Du mpaka unatia huruma,hizi Data umeleta za 2017 karibia decade , kumbuka huu ni mwaka 2025 Kuna difference ya miaka 8 hapo. Leta data za walau 2023. Unaogopa nini?
 
News ya Miaka 6 iliyopita. Sisi tunaongelea news ya 2025 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇

View attachment 3202620


Kenya’s poverty rate stands at 39.8%, says National Bureau of Statistics (KNBS). This is the East African Community poverty rate picture:
Somalia: 70%
(R Congo): 63%
Burundi: 56%
Kenya: 39.8%
Uganda: 37%
Tanzania: 26%
Rwanda: 25%
Sio ya 2020 hizo data ni za mwaka 2017 ili taarifa ni ya mwaka 2020
 
Back
Top Bottom