Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Thought you said it will never get built?🤣🤣🤣 What changed
He has the memory of a mosquito 🦟… don’t waste your time… Remember alisema if Obama is Kenyan atafunga account… and when we cornered him akapiga chenga akasema ati Obama hates Kenya …Also remember he declared ati tukihost AFCON opening and closing ceremonies atafunga account … don’t hold your breath to that..😀😀 Hana msimamo … as I said before, engaging with Alaska 007 aka the watchie is like playing guitar to a goat … 😄😄
 
Weka ushahidi kwamba ni mkenya huyo niondoke jf 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
you guys are here talking about how the lady who was abducted Maria’s father is Kenyan so she is Kenyan but when it comes to Obama that’s where you draw the line 😂😂😂😂
It’s only when it’s on your favor that you acknowledge but immediately deny when it goes against you…
 
Tutawaambia hadi lini kwamba CHAN will only be held when Kenya gets ready? Hata hiyo August ifike na ipate Kenya haijamaliza maandalizi bado itahirishwa tu.

In the meantime, jiandae kutazama draw ikifanywa live from East Africa's most important city Nairobi leo usiku. I hope your solar TV has enough charge 😂😂
sio ready ni vile hakuna nchi nyingine ilikua tayar kama rwanda wangekua na two international standards nakwamhia CAF wasingerudi nyuma, wapumbavu nyinyi munajisifia ujinga miaka kwenda miaka rudi kazi yenu nikusifia upuuzi wakat nchi imekufa 😂😂😂😂😂

eti supa pawa kukamilisha kasarani kwa wakat inawatoa mavi ndio maana nchi yote mumeuza kwa mchina sahii hakuna kitu munafanya bila mkono wa mchina
 
Mbona Rwanda na Kila siku mnajisifu kwamba mko na CAF approved stadiums. Si CAF ingetumia tu hizo viwanja zenu now that za Kenya bado haziko ready?
 
Mbona Rwanda na Kila siku mnajisifu kwamba mko na CAF approved stadiums. Si CAF ingetumia tu hizo viwanja zenu now that za Kenya bado haziko ready?
ana only one stadium angekua na two stadiums nakwambia CAF wasingesubiri upuuzi wenu, nyinyi ni wajinga wapuuzi alaf kila siku munakaa kusifia ujinga wenu ndio maana nchi inaanguka kwasababu ya ujinga wenu ng'ombe nyinyi😂😂😂

wewe sheria za CAF huzijui ndio maana hata sikualaumu hvi sasa tanzania ina team mbili top 10 best teams in africa 😂😂😂

IMG_2933.jpeg
 
ana only one stadium angekua na two stadiums nakwambia CAF wasingesubiri upuuzi wenu, nyinyi ni wajinga wapuuzi alaf kila siku munakaa kusifia ujinga wenu ndio maana nchi inaanguka kwasababu ya ujinga wenu ng'ombe nyinyi😂😂😂
Bongolala, Kila siku mnajigamba hapa kwamba mko na approved stadiums hadi Kuna kipindi mkasema kwamba haya mashindano mnaweza andaa wenyewe kama Tanzania. Iweje Sasa mnataja Rwanda now that Kenya 'inazembea'? Si muyaandae pekee yenu Dunia Ione? Mbona mnasubiri Kenya?
 
Slums in Kenya hazipo tu kibera, usitake kuichukulia kibera kama ndiyo sehemu pekee kuna slum. Ndani ya Nairobi pekee kuna ma slums makubwa yanayofanana na kibera, na naskia kwa sasa ma slums yame triple huko Kenya, mko hovyo hovyo hovyo sanaaa, watanzania wote wanaidharau Kenya tena sanaa, mtoto mdogo wa kitanzania ukimuuliza unaifahamu Kenya? Atajibu kwa kuanza na njaa, then slums kwasababu ndiyo kitu wanajua kuhusu Kenya.
Kunyan wangejua tunavyowachukulia wala wasingejisumbua kujikwezq
 
Bongolala, Kila siku mnajigamba hapa kwamba mko na approved stadiums hadi Kuna kipindi mkasema kwamba haya mashindano mnaweza andaa wenyewe kama Tanzania. Iweje Sasa mnataja Rwanda now that Kenya 'inazembea'? Si muyaandae pekee yenu Dunia Ione? Mbona mnasubiri Kenya?
kwani tuliomba pekee yetu situlikua watatu na kila mmoja aliambiwa awe na 2 international stadiums and above wewe chizi nn unafkiri tungekua pekeetu tungekua tunawasubiri wapumbavu wakubwa kama nyie munaosjifsia ujinga muda wote 😂😂😂😂😂

sio kuzembea tu nchi ishakufa hio imeoza inanuka nchi ambayo even to pay salares hamuwezi mpaka mutafute loan to aisha to pay peter
 
So, Talanta itakuwa imeisha kufikia August? Wewe ni kichaa usinipotezee muda.
Ni wapi ulisoma kwamba Talanta is being built to host Chan?

Talanta is being built specifically for AFCON and is slated to be ready by December this year according to the contractor and going by these images, it will surely be ready in Dec, almost two years ahead of AFCON
IMG_9760.jpeg
FullSizeRender.jpeg
FullSizeRender (1).jpeg
IMG_9766.jpeg
 
Back
Top Bottom