The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Mm nilisema kitambo, haya mashindano Tanzania inapaswa tuandae wenyewe, hivi vinchi vya EA ni ushuzi, sasa kuna mbwa mmoja bila aibu anajaribu kuongopa ili kuji console na kufuta aibu eti CAF wame postpone kwasababu Kenya haijakidhi vigezo ila kama ingekuwa nchi nyingine mashindano yangefanyika, what is so special with Kenya, haina ligi bora, haina viwanja bora, haina rekodi nzuri kwa national team. Hiyo ni sheria kwamba kama mmeomba wote mfanye wote, mmoja wenu akiwa hayupo tayari mashindano yanahairishwa kwasababu mmeomba kwa jina la wote iko hivyo. Wakenya mnatia aibu, kitu ambacho nmekisema mara zote ndiyo kinatokea sasa, na nilikisema sio kwa bahati mbaya ni kwasababu naijua Kenya ni ujanja ujanja tu lkn hamna kitu. Hata afcon hamtokuwa na uwezo wa kuandaa.