Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongo hiyo
IMG_3671.jpeg
halafu kuna walevi humu ndani wanahoji ubora wa elimu Tz. 😂😂
 
Umekomaa seats 20k ukisema 30k utakufa? Komaa na talaka yenu, plus acheni kututia aibu mpaka muda huu mnarekebisha gofu serious.
Hakuna tofauti ya 20k na 30k, so sijui mbona mnakasirika mkiambiwa Arusha mini stadium ni 20k.
 
Back
Top Bottom