ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,479
- 89,893
Penda kwenu, uko busy na Nairobi na kwenu ni worse.
View: https://x.com/Adventure_36/status/1854868750744289419
We nae stop dreaming upuuzi, kula tu inawapiga chenga ndiyo itakuwa vitu kama hivyo, FYI, hao wamejenga kwa pesa yao ndiyo mana wanachagua wanachotaka, nyie c mlichagua uwanja mnaotaka? But mlipompelekea mchina akasemaje? Akawaambia acheni upumbavu, chukueni Kobe huyo na mkafanyaje? C mlikubali? It's because hamna pesa ya kujenga.I Love retractable roof stadiums… can we make Talanta that way in the future?…. Hereby are Mercedes Benz stadium Atlanta and Cowboys stadium Dallas …. Ok, that’s enough…😃😃
View attachment 3199223View attachment 3199224View attachment 3199225View attachment 3199226
Nini itaifanya hio ya Arusha the best if I may ask?We jamaa umaota au ni movies zinakutia mawenge.? 😂😂😂 unalinganisha takataka mnayotenga na hizi American stadias.? Unaitujua amahoro stadium .? This one 👇🏾View attachment 3199343this is exactly what you’re building. Na hii ni mzuri kuliko uwanja mnaojenga. The best stadium will be in Arusha
Yani stadium wanayojengewa ni typical African stadium, cc tunajenga uwanja wa kitofauti kabisa, haukai wa ki Africa. Majibu yataonekana soon, wala tusipate shida, hakuna kitu wamewahi kutushinda linapokuja suala la battle 🤣🤣🤣🤣🤣🤣We jamaa umaota au ni movies zinakutia mawenge.? 😂😂😂 unalinganisha takataka mnayotenga na hizi American stadias.? Unaitujua amahoro stadium .? This one 👇🏾View attachment 3199343this is exactly what you’re building. Na hii ni mzuri kuliko uwanja mnaojenga. The best stadium will be in Arusha
Kwanza angalia eneo la pitch lilivyokubwa, which means running track is unavoidable, hata kama wakijitutumua kuweka kapeti but siku za mbeleni wanachora cz they know themselves kwamba wao sio football country, angalia 👇👇🤣🤣🤣🤣🤣We jamaa umaota au ni movies zinakutia mawenge.? 😂😂😂 unalinganisha takataka mnayotenga na hizi American stadias.? Unaitujua amahoro stadium .? This one 👇🏾View attachment 3199343this is exactly what you’re building. Na hii ni mzuri kuliko uwanja mnaojenga. The best stadium will be in Arusha
Design yake ni ya kipekee, just wait and see, hatujawahi kukosea sisi, kwani hamtujui?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nini itaifanya hio ya Arusha the best if I may ask?
We nae stop dreaming upuuzi, kula tu inawapiga chenga ndiyo itakuwa vitu kama hivyo, FYI, hao wamejenga kwa pesa yao ndiyo mana wanachagua wanachotaka, nyie c mlichagua uwanja mnaotaka? But mlipompelekea mchina akasemaje? Akawaambia acheni upumbavu, chukueni Kobe huyo na mkafanyaje? C mlikubali? It's because hamna pesa ya kujenga.
Sisi uwanja wa Arusha design tulibuni wenyewe na tulitaka ukae vile, na ndiyo mana utakuwa uwanja wa kisasa zaidi kuliko wowote ule East, Central and west Africa.
Tulibuni wenyewe. Nyie ndio mliobuniwa. Nina uhakika kama sii Mkenya aliwabunia ni Mchina.Jamaa kwanza walipeleka design hii, wakaambiwa wacheni upuuzi Amahoro pia nzuri🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3199398
Mali halali ya muchinaTalanta stadium
March 2024
View attachment 3199077
September 2024
View attachment 3199078
January 2025
View attachment 3199079
post hvi kaka hua hawafungui 😂😂😂Wanaongea wenyewe 🤣🤣🤣
![]()
Metros Kenya
"This isn't an airport or a train station—it's just a bus station in Tanzania. "Tanzania's bus station might look like an airport, but in Nairobi, Machakos Country Bus and Kenya Bus Station remind...www.facebook.com
Still sio sawa, walipoingia Tanzania visa yao sio ya umachinga tusiwachekee.Huku kwetu ni hawkers ila kwenu wanapiga makofi kuonesha jinsi gn mlivyo na shobo na rangi nyeupe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Arusha mini Stadium in March 2024. Ground breaking.Talanta stadium
March 2024
View attachment 3199077
September 2024
View attachment 3199078
January 2025
View attachment 3199079
Design ya uwanja wa Arusha mzee sio ya kulinganisha na uwanja wowote in Africa. Labda duniani huko. Au Morocco wakikamilisha zile viwanja zao za world cup.Nini itaifanya hio ya Arusha the best if I may ask?
Arusha mini Stadium in March 2024. Ground breaking.
View: https://x.com/ChenMingjian_CN/status/1770467695714000903
Arusha mini stadium in Jan 2025
Wamechukua mwaka mzima kuchimba foundation 😂😂😂
View attachment 3199476
Kwani hamuoni aibu kuchimba foundation mwaka mzima? Na kitu mnachimbia shimo milele ni mini stadium ya 20k seaters pekee.Inakuuma nini?
Unadhani sisi tuna kamradi kamoja kitembeza kila siku?
Usisahau ulikua unasema mchina amekimbia site?
Tulia wewe mzee wa tuoneshe 1km mwisho ukaanza kijiba cha roho baada ya kuona matokeo upo busy kusubiria hitilafu.
Huu ni wivu wa kijinga,Kwani hamuoni aibu kuchimba foundation mwaka mzima? Na kitu mnachimbia shimo milele ni mini stadium ya 20k seaters pekee.