Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maisha chini ya expressway yanasubiri mchina aiseee, Kenya ni mafiii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20250111-193638~2.png
Screenshot_20250111-193638~2.png
Screenshot_20250111-193555~2.png
Screenshot_20250111-193519~2.png
 
BRT inatumika na magari ya serikali, daladala na bodaboda. 🤣🤣🤣 Munapenda jokes, ndio kwa maana hio BRT imewashinda munataka kupea waarabu.
Wapi mzee.? Ukiafuta picha kwa maelfu za BRT Tz utapata inakaa hivi 👇🏾
IMG_3652.jpeg
IMG_3654.jpeg
IMG_3653.jpeg
hii picha yako uliyotafuta kujifurahisha ni kipande cha kariakoo tena ni kwenye junction pale fire, mostly hapa Fire-Gerezani panakaa congested during peak hours. 👇🏾
IMG_3655.jpeg
😂😂 hapa ni junction mzee.
 
Back
Top Bottom