Parklands?
YesParklands?
Ngoja mtu ambaye ni neutral atuelezee kaona lanes ngapi kwenye barabara za Tz.
View: https://youtu.be/cqIov4Oc19s?si=M1kYKtpzjIrjZH3I
Kuna slums kama kibera tu, taja sehemu yoyote Kenya nikuoneshe slums.Parklands?
Kipande cha Tanzania kilichowafunga goli🤣🤣🤣Zanzibar ndio Nchi gani???
Kwanza umesoma ulichoandika we mwehu?Kwa hivyo unapinga hapo sio Dar is a slum ama?
Wekeni hvyo hvyo picha za juu, chini kuna uozo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yale mabasi wanayounganisha vyuma na kutupigia kelele hapa huwa yanaenda wapi? Ukichukua random pictures za barabarani huwezi kuliona hata moja. Masikini wa Kunya hawawezi kupanda basi zuri.Tulikubaliana tunatembea na CBD tu, vumbi country 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3198801