Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanaongea wenyewe 🀣🀣🀣
 
Pumbavu nyie mimi nimeacha mbegu huko kwenu nisipajue kivipi?
 
Anajua hadi Simba Nguvu moja na Ubaya Ubwela huyo raisi wa FIFA🀣🀣🀣
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kumbe ndio maana hawapost hicho kituko! Train speed 97kph kuna truck imepita iko faster kuliko train. Muda wote nasubiri train ichanganye nione mwendo mpaka inafika nasubiri tu
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kumbe ndio maana hawapost hicho kituko! Train speed 97kph kuna truck imepita iko faster kuliko train. Muda wote nasubiri train ichanganye nione mwendo mpaka inafika nasubiri tu
Nishasemqga hapa kuwa hii kutoboa kwa masaa matador haiwekani
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kumbe ndio maana hawapost hicho kituko! Train speed 97kph kuna truck imepita iko faster kuliko train. Muda wote nasubiri train ichanganye nione mwendo mpaka inafika nasubiri tu
Kaka ni aibu kila siku wanazidi kuumbuka.Wamepata hasira na kuhuzunika sana baada ya hii video kuwekwa hadharani hapa, sijui kale kabehewa kakupigia picha kanakuwa wapi muda huu maana ni kamoja tu. Janja janja tu. kwa hiyo waheshimiwa wanasubiri kama kako Mombasa basi mpk kaje Nairobi ndo wasafiri Wakenya acheni janja janja, sirikali inawatapeli mchana kweupe πŸ˜€ Lile ni behewa la kupigia picha za propaganda na wajinga wanaamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…