Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,720
- 107,165
View: https://youtu.be/QSYd9VEkAXM?si=poMH6apaJ-7jtxhP
View: https://youtu.be/5nTFg8CMiS8?si=PbUIYISLL3mHUSvz
Aisee nisikie tena mtu anaongelea Mombasa hapa tena dah! Wakenya kama hili ndo jiji lenu la pili aisee hapana😩😩, stesheni imeshaanza kuchoka viti vya kusubiria treni, viti vya ndani ya treni mmh!
Kabisa Mkuu halafu huu ndo mji wa pili baada ya NBO.Ndo maana hawaruhusu Kupiga picha.
Mombasa kuna nyumba kibao za udongo kama tu Nairobi maeneo ya kibera
Kuna sheria inasema zinafaa zifike 1000 au unajifanya mjinga kama kawaida?Vigari hata 1000 havijafika! Ficha aibu!
Ila nchi ya kenya ina Mazingira mabaya aisee...
Hapa ni meru kenya...bora hata ya Burundi aisee
View: https://www.facebook.com/MeruDigitalnews/videos/1122938786140152/

Sasa mzee huku si ni latiakati ya misitu.? 😂😂
Najua kenya like the back of my hand. Halafu nisijue Namanga mimi unachekesha sana.I can bet with my life hata Namanga hujawai fika.
Wanafosi tufanane 😁Kwamba Nairobi ipo UK kwamba lazima upambane na visa auu unamaanisha nn labda? Au alichosema kwamba Nairobi ni ndogo kaongopa auuu?
Narudia, I can bet in my life wewe hujawai fika hata Namanga.Najua kenya like the back of my hand. Halafu nisijue Namanga mimi unachekesha sana.