Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hopefully wewe ni mwehu. 😂😂 thamani ya uwanja mmoja let’s CCM kirumba au CCM stadium mkwawani unaeza jenga gorofa hiyo kisumu nzima.
Uwanja Kitu gani na thamami ya Talanta stadium pekee ni inaweza Jenga hizo viwanja zenu mara Tatu. CCM inashindana na County governments Kenya. 😂
 
Kiboko yao

1736366472392.png
 
As a concerned American citizen, I wonder why you equate American cities to your dusty towns…. 🤣🤣🤣… and btw .. am still waiting for your answer on how the winter 🥶 is going in Dodoma ya Alaska …😂😂😂😂😂
Nmekuambia passport ya US kama unayo kweli weka hapa nikufundishe kitu, wacha shobo na nchi za watu kenge wewe.
 
Nmekuambia passport ya US kama unayo kweli weka hapa nikufundishe kitu, wacha shobo na nchi za watu kenge wewe.
Niliweka tayari … unless you want me to show you the inside details… which I will if you post your birth certificate for me …
 
Back
Top Bottom