ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
palm village ipo na hii ni moja ya shopping nilifanya kwao👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻Iko wapi tanzania?
palm village ipo na hii ni moja ya shopping nilifanya kwao👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻Iko wapi tanzania?
Tuwache hii orderliness kama ya IKEA tukuje kurandaranda kwa stalls. 🤣 🤣 Wewe ni mwenda wazimu.
View: https://www.youtube.com/watch?v=RdFA20Tt2hU
Shida yao ni moja, hawapendi kupitwa na Tanzania, wanaleta ubishani mpaka kwenye vitu vipo wazi kabisa, mfano mpaka leo bado wanabisha kuhusu sgr japo wanaona aibu lkn tungekuwa hatuifahamu vzr nchi yao wangeungana kuongopa, mtu mpaka leo anabishana kuhusu uzalishaji wa umeme baina ya Tanzania na Kenya, really? Alafu walivyo sio waaminifu, wote wanaungana kubishana kitu ambacho wanajua wamezidiwa, sisi humu ukiongopa tu kuna mtu atakuja akusahihishe, ni kwasababu tuko matured enough no room for lies, kwasababu kama huna huna tu hata ufanye nn, wakenya wana safari ndefu sn kuja kuwa civilized people.Ukitaka kujua kama hawa jamaa ni Miku..ndu hizi ndio hizo china square wanataja kuwa nazo, them actually normal supermarkets. 👇🏾View attachment 3195829ingine hii 👇🏾View attachment 3195830😂😂😂😂. Hivi hawa Vichaa wametuonaje.?
Unampiga nyundo lakini yupo tu. 😂😂😂
yani munaenda mbio kote kisa hii 😂😂Hakuna China Square Dar is a slum, bongolala unaforce issues. China Square ni duka kubwa kama IKEA ama Home Depot. Bongolala mtulie, hamjafika hio level bado, mungoje stalls zenu ziishe. 🤣🤣🤣
I thought in 2025 you could have become a better person, Kumbe wewe bado ni tu Yule baboon wa 2024.😂😂😂 kwa hiyo pesa you could have built the whole city of Kisumu. Labda unaota wewe.
We are not talking about deco shops au maduka ya kuuza home appliance pekee wacha ushamba. 🤣 🤣 🤣 China Square inauzwa karibu kila kitu apart from chakula. Nyinyi ngojeni stalls zenu in peace. 🤣🤣🤣😂😂 mzee hizi ni duka za kawaida the likes of Oca deco and Danube home and Home city Dar es Salaam. Usilazimishe vitu we kilaza. 😂😂
Ushawahi fika kwenye niashara kubwa ya jumla yoyote hata hapo kwenu.? 😂😂 seems you are ignorant. Always biashara za jumla zinakuanga na ka display kadogo. Huyu hapa ni baba Levo akiwa turkey huko kwene commercial and logistic center. Check hizo displays in it. Baba Levo on Instagram: "Wafanyabiashara Wa DECORATION Hili Hapa CHIMBO LENU Hapa UTURUKI 🙌🏻🙌🏻 Njooni ISTANBUL @silent_ocean_ltd TUTASAFIRISHA MZIGO WAKO MPAKA TANZANIA KWA BEI NAFUU SANA 🙏". Haya toka upumbavu ulionao hapa. 😂😂Wanakuja kununua kwa stalls. 🤣 🤣
We are not talking about deco shops au maduka ya kuuza home appliance pekee wacha ushamba. 🤣 🤣 🤣 China Square inauzwa karibu kila kitu apart from chakula. Nyinyi ngojeni stalls zenu in peace. 🤣🤣🤣
View: https://www.youtube.com/watch?v=mSv2i1AOfWU
Ushawahi fika kwenye niashara kubwa ya jumla yoyote hata hapo kwenu.? 😂😂 seems you are ignorant. Always biashara za jumla zinakuanga na ka display kadogo. Huyu hapa ni baba Levo akiwa turkey huko kwene commercial and logistic center. Check hizo displays in it. Baba Levo on Instagram: "Wafanyabiashara Wa DECORATION Hili Hapa CHIMBO LENU Hapa UTURUKI 🙌🏻🙌🏻 Njooni ISTANBUL @silent_ocean_ltd TUTASAFIRISHA MZIGO WAKO MPAKA TANZANIA KWA BEI NAFUU SANA 🙏". Haya toka upumbavu ulionao hapa. 😂😂
We are not talking about deco shops au maduka ya kuuza home appliance pekee wacha ushamba. 🤣 🤣 🤣 China Square inauzwa karibu kila kitu apart from chakula. Nyinyi ngojeni stalls zenu in peace. 🤣🤣🤣
View: https://www.youtube.com/watch?v=mSv2i1AOfWU
Normal duka umeona wakiuza sukari na mboga huko ama? 🤣🤣Hii ni Normal duka. 😂😂😂 usifosi mambo.
Tuwache hii orderliness kama ya IKEA tukuje kurandaranda kwa stalls. 🤣 🤣 Wewe ni mwenda wazimu.
View: https://www.youtube.com/watch?v=RdFA20Tt2hU
Kwani duka mpaka liuzwe sukari na mboga.? 😂😂😂.Normal duka umeona wakiuza sukari na mboga huko ama? 🤣🤣
Analeta upumbavu kama kawaida yake. 😂Watu tuko serious nyie mnaleta uchale.
Enda usukume train yenu, imekwama tena kwa mara ya tatu in one week.Watu tuko serious nyie mnaleta uchale.
Hawawezi kuzuia kupitwa na wanajua watapitwa tu😁😁😁Shida yao ni moja, hawapendi kupitwa na Tanzania,..
Sahii ODM inapiga investment Kubwa Kisumu kuliko hio Chama yenu ya CCM Tanzania mzima. Serious construction density of almost 40 blocks high rise housing units 15 floors each Mwanza hata haina Gorofa Moja 15 floors 😂
View attachment 3195856
View attachment 3195859
View: https://www.instagram.com/reel/DCrSSchIpzV/?igsh=YWlucHc0OWloMWV5
Si hizo ndio supermarkets mumezoea huko bongoslum, unanionyesha duka ya kuuza home decoration eti ndio kama China Square yenu. 🤣 🤣 🤣Kwani duka mpaka liuzwe sukari na mboga.? 😂😂😂.