Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ni zuzu hasa. 😂😂 anaekuja kununua ubungo si wewe, Labda kama wewe ni business owner, anaekuja kununua Ubongo ni wafanya biashara wakubwa kilaza wewe.
Yeye anadhani biashara ni simple sn, yn mtu aache kuja kuchukua mzigo wa jumla kwa bei rahisi aende kuwauzia kina nairobae at exorbitant price apige pesa, eti asubiri mzigo pale kwenye ile inefficient port of mombasa kwa masiku kibao. Wakenya watake wasitake maduka yao yatajaa bidhaa kutoka China ya Tanzania.
 
Si hizo ndio supermarkets mumezoea huko bongoslum, unanionyesha duka ya kuuza home decoration eti ndio kama China Square yenu. 🤣 🤣 🤣
China square ni normal supermarket. Wewe ukitaka ulie. Ila ukweli utabaki hivyo.
 
Kasarani Stadium.

1736341718707.jpeg
 
Jamaa wababaishaji kinoma, mpaka leo wana struggle kumaliza tuviwanja tuwili, tena sio kujenga ni kufanya renovation tu imewachukua muda mrefu na bado mpaka leo wanasuasua, alafu walitaka opening game ipigwe kwao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Na wala hatuongei English

 
Back
Top Bottom