Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uncle in the House
17-00-39-12aca002be3d5851d1c9516bed9be37b.jpg
 
Kisii.... I
Yaani zama hizi bado upo na mawazo ya watu kunyonya damu za watu wenzao? Hahahahahaha!! my friend this is old stone age ideas or Only person with brain disorder can have such thinking.

Hehehe.... Who doesn't know about your Satanic dark world you Pretenders. Hakuna unachotuambia. Get busy.
 
almost 70 percent of the tallest skyscrapers being built in Africa are in Nairobi...
 
wanapenda kulia lia eti majengo marefu Nairobi ni kwasababu ya minara...hii hapa Avic international ni 176 metres bila mnara...jengo la pili hilo ni 141 metres
CYTlKMMWcAAoSq0.jpg
 
Kisii.... I

Hehehe.... Who doesn't know about your Satanic dark world you Pretenders. Hakuna unachotuambia. Get busy.
I told you; Hahahahaha!! and I can prove now! "mental disorder eating your soul" Go to repent your old stone age sins.
 
dont be petty...fashion ni ya wamathe na madem...buda hizo ni tabia za kisenge...a man justs wears a suit or a shirt.....do you know how Bill Gates, one the richest men in the world dresses?

unaelewa maana ya neno showbiz?.

NB:
kwa mtu ambaye yupo kwe showbiz career, kupendeza na kuwa na image nzuri ni moja ya sehemu yake ya kazi.

tatizo la wasanii wengi wa kikenya ni ule ujinga wao wa kuiga tabia za wajamaica wakidhani wanapatia kumbe wanakosea.

matokeo yake wasanii wenu wanakuwa na muonekano wa kutisha...wachafu...wananuka vikwapa. ..povu ruksa...twende kazi.
 
wanapenda kulia lia eti majengo marefu Nairobi ni kwasababu ya minara...hii hapa Avic international ni 176 metres bila mnara...jengo la pili hilo ni 141 metres
CYTlKMMWcAAoSq0.jpg

Picha hizi zinawaumiza sana wakenya. Unaweza kunionesha picha kama hizo toka Nairobi?

DRBivsHXcAEs9CF.jpg

DREEy72XUAAwaK-.jpg
 
😀😀😀😀 hebu nitajie
thanks for asking bro..ila najua utaanza kulia lia eti renders....but this is the list anyway
1. Pinnacle 1
2. Pinnacle 2
3. Montave 1
4. Montave 2
5. Avic 1
6. Avic 2
zikimalizwa hizi zote zitakua top 10 tallest buildings in Africa..ongezea Britam na UAP zitakuwa ni majengo karibu nane kisha za SA mbili kukamilisha top 10....TPA inakuja namba 11😛😛...just imagine bro...😀😀
 
Hahahaha. Hivi unadhani nchi zingine hazijengi eti. Hayo majengo yanaurefu wa mita ngapi?
 
Back
Top Bottom