Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Isiolo aiport ipo kwa ajili ya:
1. Biashara (Somalia and Ethiopia) Kenya wants the Ethiopian market like crazy
2. De-congestion...JKIA and Mombasa airport are approaching 10 million visitors annually..
kwa hiyo usiexpect watu wa Isiolo ndio wawe wanatumia airport ile...
Hahahahaha!! Vipi kuhusu barabara na huduma za kijamii eg (Hotels, Bank etc) Au abiria watakuwa wanalala kwenye magofu?
Plan mbovu
Isilo City

samburu-isiolo.jpg


isiolo.jpg


9023455.jpg


merti-town2.jpg
 
thanks for asking bro..ila najua utaanza kulia lia eti renders....but this is the list anyway
1. Pinnacle 1
2. Pinnacle 2
3. Montave 1
4. Montave 2
5. Avic 1
6. Avic 2
zikimalizwa hizi zote zitakua top 10 tallest buildings in Africa..ongezea Britam na UAP zitakuwa ni majengo karibu nane kisha za SA mbili kukamilisha top 10....TPA inakuja namba 11😛😛...just imagine bro...😀😀
where is pinncle and montave???😛😛😛
 
Hahahahaha!! Vipi kuhusu barabara na huduma za kijamii eg (Hotels, Bank etc) Au abiria watakuwa wanalala kwenye magofu?
Plan mbovu
Isilo City

samburu-isiolo.jpg


isiolo.jpg


9023455.jpg


merti-town2.jpg
ubaya wako ndugu unaogopa kutumia akili...that airport is a oneestop airport...station ya kuunganisha...
 
look at tanzania's second largest city...watu wamebebnna na paperbag wanaenda kupanda ndege...
PIC+atcl.jpg
 
Hahahahaha!! Vipi kuhusu barabara na huduma za kijamii eg (Hotels, Bank etc) Au abiria watakuwa wanalala kwenye magofu?
Plan mbovu
Isilo City

samburu-isiolo.jpg


isiolo.jpg


9023455.jpg


merti-town2.jpg
Huo ndiyo ugonjwa mkubwa unaowasumbua wakenya, poor priorities planning, utasikia wakikueleza hiyo airport ni kwa ajili ya LAPSET itakapoanza kazi, wakati hakuna matumaini wala planning kwamba itaanza kazi in near future
 
Back
Top Bottom