jengo moja unarudia mara soo msee?????????????????????????????????????????????
Hahahahaha. Nashukuru kwa kulitambua hilo kuwa wewe ni shallow minded. That's why I say you have old stone age mind. Whites propaganda zimekuingia kichwani ki sawa sawa.Primitive you are with your Albino eating habits.Demonic . Atleast I am shallow minded, You have faeces in between your ears.
hio avic inakimbia joo...
new leisure hotel in tz😀😀😀😀 looks like zile hostel za kupeleka mpango wa kando
![]()
wengine wanatafta routes kule msituni...😀😀
sawa baba😀😀 lakini heri wangeiita jina ingine...not leisure hotel...kitu inakaa kibanda ya kuuzia chai na mandazi mnaita leisure hotel?About the Hotel
Leisure Safari Lodge is a brand new luxury lodge situated below Mount Meru, in Sakina which is just a 10 minute drive out of the town centre on the Arusha – Nairobi highway. The lodge is set in a peaceful and tranquil area and is surrounded by beautiful vegetation. Free WiFi is also available.
The lodge features deluxe rooms and cottage apartments, fully furnished with an en-suite bathroom, a mini safe, a cable TV and a direct telephone line.
https://travel.jumia.com/en-gb/tanzania/o4634/leisure-safari-lodge-arusha
Hahahahaha. Nashukuru kwa kulitambua hilo kuwa wewe ni shallow minded. That's why I say you have old stone age mind. Whites propaganda zimekuingia kichwani ki sawa sawa.
Yaani zama hizi bado upo na mawazo ya watu kunyonya damu za watu wenzao? Hahahahahaha!! my friend this is old stone age ideas or Only person with brain disorder can have such thinking.Hehehe.... Just listen to yourself ndio ugundue that there is absolutely nothing in between your ears. Wewe get busy.... Faru anakuja
dont be petty...fashion ni ya wamathe na madem...buda hizo ni tabia za kisenge...a man justs wears a suit or a shirt.....do you know how Bill Gates, one the richest men in the world dresses?REPOST.
WASANII WENGI WA KENYA HAWAJUI KUPENDEZA:
sote tunajua kwamba showbiz sio tu kuwa na kipaji cha kutunga, kuimba,kuigiza au kuchekesha bali pia ni namna gani msanii unaji-package katika muonekano mzuri.
mimi ni shabiki mkubwa wa miziki ya kenya,ila ninakwazwa na namna wasanii wa kenya wanavyojiweka kimuonekano.
ukweli wasanii wengi wa kenya hata wale ambao mimi nakubali kazi zao,hawajui kuvaa wakapendeza, wengi sio wasafi,pia hawajui ku-brand muonekano wao.
mfano mdogo ni hawa vijana watatu wa kikundi cha h_art the band.
hawajipendi,wapo rough sana na wachafu sana.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
katika hili,wasanii wa tanzania wanastahili sifa,wengi wao wanajua kuji-keep up with popular trending fashion.
our artists are fashionable,they know how to brand their image with some nice and fredh outfits.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
wasanii wa kenya wana jambo la kujifunza toka kwa wasanii wa tanzania.
ikumbukwe mashabiki wakubwa wa mziki duniani ni watoto wa kike.
kwa uvaaji wa hovyo na muonekano mbaya wa wasanii wa kenya,sishangai kwanini "mamanzi" wengi wa kenya hupagawishwa na wasanii wa bongo hususani kiba na diamond.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
makala hii imeandikwa na kadoda11 wa jamiiforum.
By the way of late sijasikia such, could be the Authorities hawalali kazini. Hongera Tz.ni kweli,walishindwa kufanya hivyo katika utawala uliopita wa jakaya kikwete.
hiyo ilitokana na mapungufu mbalimbali ya kiutawala wakati wa utawala wa rais aliyepita.
pia kesi nyingi za poaching zilizopo mahakamani ni zile zilizo sajiliwa awamu iliyopita.
nikuulize,umeshawahi kusikia taarifa mpya ya mauaji tembo tz katika kipindi cha miaka mitatu ya utawala wa john magufuli?.
kama una uthibitisho tuletee.