Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wana hela ya kwenda south ka nyie hamna tulieni tuu shooting mkafanyie uhuru park hahahahaha ...sema tu hamna hela yaisheee
comment of the day..eti shooting wakafanyie wapi?...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Saw this too from the Architect.


7c49d87bdb790bd4561e562d76290995.jpg



3e65fe735e1a67f3fde58e9868eb2b6f.jpg
Naona vyumba vibovu hapo chini.
ghorofa refu nzuri linajengwa sehemu bovu ivo...
 
Unajua mtu akiwa already injected na bad ideology kuhusu asili yake anakua kituko, wakenya ni mfano mzuri wa twisted minded people sababu tu wazungu wanafakamia makemikali na wenyewe ndio wanaona ndio standard lifestyle kumbe ni ulimbukeni.

Mkenya yupo radhi aharibu pesa kwa nauli kutafuta supermarket au mall ili afanye shopping like a white man wakati hiyo bidhaa ameiacha kwenye vibanda vya kibera hiyo ndio prestige yao.

Wenzao wanakwenda supermarket kwasababu mazingira yaliwalazimisha kuwa na utamaduni huo.

Unakuta wakati wa baridi huwezi kulima mboga mboga kwenye bustani. kwahiyo vitu fresh utavipata kwa mkulima mkubwa mwenye maghala ya kuhifadhi na kuuza kwenye supermarket. Ndiyo maana wanakwenda huko, sasa wenzangu na mimi wakafuata mkumbo.
 
comment of the day..eti shooting wakafanyie wapi?...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanaujinga sana hawa jamaa mda mwingne hadi wanakera yaan
 
Hawa ni wale wameshindwa kuzuia 60% ya Tembo huko Tz kuangamizwa na wawindaji haramu? ...hawa ni kama scouts tu hawana lipya.
ni kweli,walishindwa kufanya hivyo katika utawala uliopita wa jakaya kikwete.

hiyo ilitokana na mapungufu mbalimbali ya kiutawala wakati wa utawala wa rais aliyepita.

pia kesi nyingi za poaching zilizopo mahakamani ni zile zilizo sajiliwa awamu iliyopita.

nikuulize,umeshawahi kusikia taarifa mpya ya mauaji tembo tz katika kipindi cha miaka mitatu ya utawala wa john magufuli?.

kama una uthibitisho tuletee.
 
Naona vyumba vibovu hapo chini.
ghorofa refu nzuri linajengwa sehemu bovu ivo...
Hyo ni technique ya serikali
Wamejenga hvyo ili sehem ipande thaman watu wapauze
Wakipauza panakuwa pazuri
Ni kama makumbusho palivyokuwa enz zile
 
Annael una dhambi.... yaan unatuma embe hizo na zilivyo nzuri wakati unajua majirani njaa kali
Kijana anaweza kutaka kuchuma ili apeleke kwenye kiwanda cha Uhuru Fruits Processing factory. Sisi hapa unachuma na kula kwanza kisha kinachobaki unapeleka kiwandani.
 
Back
Top Bottom