REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,233
- 10,919
Ndio kwa maana nakuita a smart fool. 🤣 🤣 🤣 Kwa hivyo abiria munatumika kama test mules sahii. Punguza ujuaji na kiherehere. Ebu pitia hii article upunguze ujinga.
![]()
Ticketing enhanced ahead of SGR commissioning - Daily News
TRC is finalizing a comprehensive ticketing system for the Standard Gauge Railway, set to begin initial operations next monthdailynews.co.tz
Those are stages of commissioning. kwenye performance testing ni lazima train iwe na "real load" ambao ni abiria. Wewe ulitaka itembee bila real load?
Hayo mambo yalifanyika kipindi hiki na hii locomotive ya Austria
It has happened couple of times, but not as disseminated by propagandists.
Hizi ndizo Commissioning stages na sisi tupo: Performance testing ya treni za abiria, then za mizigo.
"Performance testing
assess the system's responsiveness and stability under diverse scenarios. It's not just about ensuring the project works"
Safari yetu sisi ni ndefu na sio kama yenu.
View attachment 3194298