REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,233
- 10,917
Hakuna treni iliyokwama hizi ni hila za waendesha accounts za Chadema.
Taarifa zote zinawekwa bayana kwenye accounts zote za twitter, IG na kwingineko.
Nyie mnatatizo ndio maana mnaokota kila habari mbaya hata zisizo na ukweli. Na tatizo lenu ni "KIJIBA".
View: https://x.com/tzrailways/status/1871885570793980258