Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eti maghorofa zinajengwa wapi? 🤣🤣🤣

Image
 
Kwa hivyo Samia alienda kufungua upepo. 🤣 🤣 You are a smart fool.
Samia alienda kukamisheni "performance tasting" kwakua kwenye hii stage, treni ni lazima ibebe mzigo halisia ambao ni watu wasafiri nayo. Kwenye kukabidhi mradi kutakuwa na tafrija mkandarasi akikabidhi mradi ukiwa 100% working na bila changamoto.

Hii sio mafuta kaka, ni high speed train ya kiwango cha juu sana. Get used to it and learn hili na lile ili mkifika level hizi muwe tayari mnatambua haya.
 
I told you I can fly to Dar any time and your auntie will dance 💃 for me…🤣🤣…. I don’t need a visa … they will be honored to give me one at the Mabati Rolling Mills Airport ….
View attachment 3194225
Ningekua mpumbavu kama ww ningeweka pasi ya TZ na nilipo then nikaandika uber sealt ushaenda kupiga doordash baada ya abiria kukata
 
Samia alienda kukamisheni "performance tasting" kwakua kwenye hii stage, treni ni lazima ibebe mzigo halisia ambao ni watu wasafiri nayo. Kwenye kukabidhi mradi kutakuwa na tafrija mkandarasi akikabidhi mradi ukiwa 100% working na bila changamoto.

Hii sio mafuta kaka, ni high speed train ya kiwango cha juu sana. Get used to it and learn hili na lile ili mkifika level hizi muwe tayari mnatambua haya.
Ndio kwa maana nakuita a smart fool. 🤣 🤣 🤣 Kwa hivyo abiria munatumika kama test mules sahii. Punguza ujuaji na kiherehere. Ebu pitia hii article upunguze ujinga.

 
Post ni lini imewahi fika on time kama ilivyo kwenye timetable, tunachojua always iko late Zaid 30 minutes
Wewe ndio umeleta allegations za kipumbavu, wewe ndio unafaa kuprove hua inachelewa kila siku. Sisi tushaprove train yenu hua inakwama mara kwa mara.
 
Wewe ni mpumbavu!
Normal operation huanza mkandarasi akikabizi mradi kwa client. Junbe tubajibizaba na watu waiso na akili kiasi hiki 🙄

Mpaka sasa mradi uko kwenye testing na ni liability ya mkandarasi.
Mwambie kuwa bado Kuna wakandarasi wanaendelea na kazi pale kilosa na dodoma, kwa mfano ukifika ihumwa Kuna kibao kinaelekeza kabisa speed ya 39km/ hr maana Kuna kidaraja bado hakijakaa sawa. Pia mwambie pale dodoma terminal mkandarasi bado hajamaliza kuweka reli ndani ya station ya abiria ili watumie Ile underground bypass .
 
Anha
Angalia roofing ya mkapa stadium then linganisha na hiyo jua kali.
Lini mlishawahi kumiliki freighter kubwa kuliko 767 300F. Ukinionesha ushahidi natoka JF sasa hivi.
KQ na Astral Aviation walikua na 747-400 na Astral Aviation hadi sahii wanamiliki 767-300F na wanapanga kuongeza ingine huu mwaka. Au munadhani KQ pekee ndio kampuni ya ndege with freight operations in Kenya. 🤣 🤣 🤣 Ushamba ndio mutawacha nyinyi mafala.
 
Poor acting. Everyone can see that. How did the cameraman know the robbery was going to take place ndio asimame na camera? Alafu mbona jamaa katoa kichwa yote nje akiongea Kwa simu?
kwani ni mm nilikuwepo hvi kuna mtu hajui nairobi inaongoza africa kwa wizi na corruption??😂😂😂 au hii 2025 unataka kumdanganya nani asiejua
 
Back
Top Bottom