The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Muulize tu mbona cku hz wameacha kupost train zao?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Swali fupi maelezo meeeengi. ngarangara haiwezi kuwa effiecient, its not even environmental friendly.
Muulize tu mbona cku hz wameacha kupost train zao?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Swali fupi maelezo meeeengi. ngarangara haiwezi kuwa effiecient, its not even environmental friendly.
Hakuna battle hadi Train yenu ipone kifafa kwanza.Kwani bado mnaleta battle za treni tu.? 😅
Punguza papara wewe nyang'au, andika vizuri😁Nairobi Mombasa has never been 8yrs...
So what? Dar CBD is on the edge of the city anyway.Do you know that area is 30km from dar CBD?
Sgr kenya hufanya trip 3 ndani ya masaa 16 na moja ya trip treni inafika the next day. kwa mfano treni ya saa nne usiku ya tarehe 31/012/2024 ilifika 1/1/2025 yaan treni ilitumia siku mbili kufika mombasa nd vice versa.Yet our train does 3 trips to Mombasa per day. Sasa ona vile unakaa mjinga. 🤣 🤣
| FROM | DEPARTURE TIME | TO | ARIVAL TINE |
| NAIROBI | 8:00 AM | MOMBASA | 2:00PM |
| MOMBASA | 3:00 PM | NAIROBI | 8.35 PM |
| NAIROBI | 10:00 PM | NAIROBI | 3:35 AM ( NEXT DAY) |
| FROM | DEPARTURE TIME | TO | ARIVAL TINE |
| DAR | 6:00 AM | DODOMA | 10:00 AM |
| DODOMA | 2:10 PM | DAR | 6:00 PM |
| DAR | 6:50 PM | DODOMA | 10:50:00 PM (SAME DAY} |
Hua wanajifanya nikama hawajui.So what? Dar CBD is on the edge of the city anyway.
nifatilie mada ngani unapost ndege za watu wewe kondoo nn unafkiri wote humu tunaakili kama zenu 😂😂😂Mbwa fwatilia mada, wacha kuropokwa.
sema 3 trips within two days, treni 10:00pm hufika next day saa tisa usikuYet our train does 3 trips to Mombasa per day. Sasa ona vile unakaa mjinga. 🤣 🤣
Uzuri tunajua nigani hua inakwama kwama kila mara hadi abiria wanatoka nje.kupumzisha matakoSgr kenya hufanya trip 3 ndani ya masaa 16 na moja ya trip treni inafika the next day. kwa mfano treni ya saa nne usiku ya tarehe 31/012/2024 ilifika 1/1/2025 yaan treni ilitumia siku mbili kufika mombasa nd vice versa.
sgr tanzania inafanya trip 3 ndani ya msa kumi na mbili tu na hakuna treni inayofika siku yaa pili.
RATIBA YA SGR KENYA
FROM DEPARTURE TIME TO ARIVAL TINE NAIROBI 8:00 AMMOMBASA 2:00PM MOMBASA 3:00 PMNAIROBI 8.35 PM NAIROBI 10:00 PMNAIROBI 3:35 AM ( NEXT DAY)
RATIBA YA SGR TANZANIA
FROM DEPARTURE TIME TO ARIVAL TINE DAR 6:00 AMDODOMA 10:00 AMDODOMA 2:10 PMDAR 6:00 PMDAR 6:50 PMDODOMA 10:50:00 PM (SAME DAY}
kila siku kuna watu wanalala na viatu kwenye sgr kenya
Kwa hivyo Astral Aviation na KQ ni vya bongoslum ama? Oooohhh nice.nifatilie mada ngani unapost ndege za watu wewe kondoo nn unafkiri wote humu tunaakili kama zenu 😂😂😂
na hata ikikwama kkwa masaa matano bado itafika kabla ya kwenu. fikiria treni inayotaka saa tatu asubuhi tanzania inafika zaid ya saa moja wakati yenu tayari ilikwisha tanguliaUzuri Tunajua nigani hua ina kwama kwama kila mara hadi abiria wanatoka nje.kupumzisha matako
Hesabu hujui au unashabikia ujinga?na hata ikikwama kkwa masaa matano bado itafika kabla ya kwenu
hivi unajua mchongoko unaonza safari saa 18:00 unafika kabla ya treni yenu ya saa 9 jion?Uzuri tunajua nigani hua inakwama kwama kila mara hadi abiria wanatoka nje.kupumzisha matako
hivi ni treni yenu ya mbili asubuhi iliwahi fika saa nane mchana on time,yaani ikijitahidi saana ni saa tisaHesabu hujui au unashabikia ujinga?
Hata CHAN pia mlisema hivo.Hakuna AFCON itakayofanyika Kenya mark my words kijana.
leta evidence ya sgr kenya kufika on time letsays ile ya saa mbili mara ya mwisho kufika saanane ilikuwa lini ?Hesabu hujui au unashabikia ujinga?
mara ya mwisho sgr kenya kuruise kw spidi ya 110 ilikuwa lini vile maana hapa kila video inaonesha 90 mpaka 95Hesabu hujui au unashabikia ujinga?
Hio sijui lakini kitu najua, ni eti inaweza kwama anytime bila warning.hivi unajua mchongoko unaonza safari saa 18:00 unafika kabla ya treni yenu ya saa 9 jion?
Train yetu hua haikwami ovyo ovyo kama hio yenu and it's always on time.leta evidence ya sgr kenya kufika on time letsays ile ya saa mbili mara ya mwisho kufika saanane ilikuwa lini ?