REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,675
- 11,684
We mweu, treni zetu ziko kwenye majaribio na muda sio mrefu tutaanza kwenda kwa speed kubwa zaidi ya 160. Hii sio mafuta ya taa ama mafuta machafu ya diesel, hii ni high speed train. Soo tutamalizana na hizi changamoto ndogo ndogo na tutaanza kazi kwa speed ya kueleweka.5 hours bila kukwama is way better than 4 hrs ya kukwama ovyo ovyo.
Yuko bizee na maisha yetu!
And there is nothing you can do about it….. I will continue to defend magical Kenya against Uswazistan … it’s my call of duty …🤣🤣… peleka hasira Tandale ….Ukichaa na ushamba unakusumbua. Na bado 24/7 upo JF 🤣 🤣 🤣 🤣
Train inashinda imekwama kwama kila siku, no need for comparison na train ina kifafa.Sorry bro nyinyi hamuna treni wala reli ya kulinganisha tulionayo, so chill. Subiri UG wakamilishe reli Yao then mtawaita for comparison.
Lakini kukwama ni constant.We mweu, treni zetu ziko kwenye majaribio na muda sio mrefu tutaanza kwenda kwa speed kubwa zaidi ya 160. Hii sio mafuta ya taa ama mafuta machafu ya diesel, hii ni high speed train. Soo tutamalizana na hizi changamoto ndogo ndogo na tutaanza kazi kwa speed ya kueleweka.
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1875848621628981331
😀😀😀 Magical Kundudweller.And there is nothing you can do about it….. I will continue to defend magical Kenya against Uswazistan … it’s my call of duty …🤣🤣… peleka hasira Tandale ….
bado safari ya kutoka town kutafuta SGr station ziko nje miji maporini 😂😂😂😂Eti 5 hrs , this thing takes 7-9 hrs to Mombasa, plus vituo vyake viko remote sana, making the trip even longer than bus
It has happened couple of times, but not as disseminated by propagandists.Lakini kukwama ni constant.
Mtalia mpaka mpasuke, ishabeba 1.2 M passengers and counting mpaka sasa, nyie endeleeni kulia lia kwenye GARI MOSHI lenu......🤣 🤣 🤣 Yet some buffoon still says it's efficient. Fate loves Irony.
Normal Operations began wacha kua in denial, kukwama inawapiga kitu hadi munataka kuagiza diesel engines. 🤣 🤣It has happened couple of times, but not as disseminated by propagandists.
Hizi ndizo Commissioning stages na sisi tupo: Performance testing ya treni za abiria, then za mizigo.
"Performance testing
assess the system's responsiveness and stability under diverse scenarios. It's not just about ensuring the project works"
Safari yetu sisi ni ndefu na sio kama yenu.
View attachment 3194298
Wewe ni mpumbavu!Normal Operations began wacha kua in denial, kukwama inawapiga kitu hadi munataka kuagiza diesel engines. 🤣 🤣
Ndege ziko registered US zinawezaje kuwa za Wakundurenda?Ndege zenu?
Eti nimeedit page yako? Do I know your login details ndio niweze kuedit comments zako? Wewe ni Bure sanaUnaonekana umechanganyikiwa kijana. Sasa unapo edit comment yangu unajiona mjanja 🤣 🤣 🤣 🤣
Original Comment 👇👇👇👇
View attachment 3194173
Nchi inaongoza kwa umasikini ukanda huu inajulikana wala hiyo siyo hojaKwasababu nyie ni maskini.
Kwa hivyo Samia alienda kufungua upepo. 🤣 🤣 You are a smart fool.Wewe ni mpumbavu!
Normal operation huanza mkandarasi akikabizi mradi kwa client. Junbe tubajibizaba na watu waiso na akili kiasi hiki 🙄
Mpaka sasa mradi uko kwenye testing na ni liability ya mkandarasi.
Kama nilisema hiyo barabara inaenda hadi Nyeri sasa mbona unauliza ya Embu if you already know this?Kwani ukitokea Thika kwenda Nyeri unapita wapi?
Hapo ndio wivu imekufikisha baada ya treni yenu kukwama porini mara nyingine?Eti 5 hrs , this thing takes 7-9 hrs to Mombasa, plus vituo vyake viko remote sana, making the trip even longer than bus
Msemaji mkuu wa serikali akijibu propaganda za watu wanao zisambaza wakiwa Nairobi.Normal Operations began wacha kua in denial, kukwama inawapiga kitu hadi munataka kuagiza diesel engines. 🤣 🤣