Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeelewa hata nilichoangika?
 
Kwa nini lipa kwa Mpesa wanatoza tozo? Hawaone wanadiscourage Mobile cashless economy?
Ujinga sana alafu kuna mijitu kazi kusifia. Noti unaona kabisa zinaharibika mtaani na kurudiwa kuprint, plus cashless economy huenda ikasaidia sana kuinua huu uchumi na kupunguza matukio ya wizi utapeli na ujambazi.

Akili zao zinawaza tozo tu, Imagine waliwaza kuwekea tozo kwenye CNG inayotumika kwenye magari na CNG yenyewe inatoka Mtwara na ipo chini ya government like seriously wakati walitakiwa kuhimiza kwa kuweka ruzuku CNG itumike kwa wingi kupunguza uagizaji wa Petrol kusave foreign reserve inayotumika kuagiza mafuta.

Yaani mpaka mtu unashangaa wanawaza nini? Alafu baadae wakikopa kila mradi wanaushikiza na mkopo hata miradi ambayo mwanzo walisema ni ya tozo.
 

Attachments

  • 1000525095.jpg
    606.1 KB · Views: 26
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…