Daniel Abed Shauri
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 259
- 172
Mkuu ungetuonesha huo usafiri wao wa jiji"![]()
umenena mkuu![]()
Hizo garden ziko mifukoni mwenu?? Maana wewe na wakenya wooote mmeshindwa kuziweka picha hapa.
Flyover za waenda kwa miguu dar zimejaa sana , wewe ulifika mwaka gani????
Dar wameweka picha, za majengo marefu, bila Nairobi kujibu kwa picha.
Makazi yaraia wakawaida dar ni bora kuliko Kenya. Hizo hotel na migahawa dar iko juu.
Kenya juice zenu jaman zinasukari ziko conc sana ni yale yanahitaji knowledge of dilution reff chemistry in volumetric analysis,Wakat nasoma Moshi ndio zilikuepo kipindi bado mdogo nowadays zimekauka madukani azam and mo products zimetawala ...bidhaa za kenya nyingi zinakosa soko na tumeshazisahu