Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

98% indeginous thats why Kenya leads in Milk production in Africa few cows but high productivity
To lead in industrial milk is quite different from local organic milk production, Tanzania huwa tunapendelea maziwa natural kutoka zizini ambayo is not statistical taken like industrial products.

Tanzania mida ya jioni na asubuhi kwenye local shops unakuta maziwa fresh yanauzwa locally which is the most popular way of selling milk and bigger number of milk ltrs are sold out in that way compared to the packed milk which most of them are not organic and Tanzanians do not trust them.
 
Askari wa Maliasili na Utalii. Wanyama pori
Tanzania

DROw2HOW0AA753x.jpg
Hawa ni wale wameshindwa kuzuia 60% ya Tembo huko Tz kuangamizwa na wawindaji haramu? ...hawa ni kama scouts tu hawana lipya.
 
Hahahaha. Nadhani communication system zinabadilika kwa kasi sana. Badala ya kutumia satellite direct kunakuwa na center moja inayo transmit signal na kuondoa minara kwenye majengo. Wakenya bado wako nyuma kidogo. Pale kijitonyama TTCL mitambo ya satellite imesimikwa. Na kwa sasa fibre ambayo ni cheap. Kam umeweka minara juu hata kutua helkopita inakuwa shida.
Hyohyo minara ndo mizr
Ata Marekan anatumia hyo technique
Na mnara c lazima uwe wa communication
Ata wa umbo la juu la jengo
 
To lead in industrial milk is quite different from local organic milk production, Tanzania huwa tunapendelea maziwa natural kutoka zizini ambayo is not statistical taken like industrial products.

Tanzania mida ya jioni na asubuhi kwenye local shops unakuta maziwa fresh yanauzwa locally which is the most popular way of selling milk and bigger number of milk ltrs are sold out in that way compared to the packed milk which most of them are not organic and Tanzanians do not trust them.
.
Mueleze huyo,

Kwa ujumla Tz tunapenda sana vitu asilia mambo ya vyakula vya viwandani hatuzimii kiivyo, ni mambo ya utamaduni tuu.
 
Hahahaha. Nadhani communication system zinabadilika kwa kasi sana. Badala ya kutumia satellite direct kunakuwa na center moja inayo transmit signal na kuondoa minara kwenye majengo. Wakenya bado wako nyuma kidogo. Pale kijitonyama TTCL mitambo ya satellite imesimikwa. Na kwa sasa fibre ambayo ni cheap. Kam umeweka minara juu hata kutua helkopita inakuwa shida.
Jengo kuwa refu linaongeza adhi ya mji
Dubai isingesikika sana kama Burj Khalifa isingekuepo pale
 
sasa huo ulio nao ni ukichaa......tena cha mbwa mwitu unalinganisha takataka yenu na U.S.A ........

Hebu tafakari kabla ya kuropoka mfano mdogo huu.......chukua idadi ya makampuni yanayomilikiwa na U.S.A binafsi kisha chukua idadi ya makampuni binafsi yanayomilikiwa na wakenya kisha jiulize......je ni nchi ipi yenye idadi ndogo ya wawekezaji wa ndani...ambao wameshika uchumi..?.....ukishapata jibu fanya kama unajicheka kisha waite chokoraa wakikenya waambiw wakuzomee baada ya hapo jiulize tena tena je kati ya kenya na U.S.A ni nchi ipi wawekezaji wakiondoka itabaki pweke na raia wake nakubaki maskini...?.....
Hahahahaha
Nimecheka sana
 
.
Mueleze huyo,

Kwa ujumla Tz tunapenda sana vitu asilia mambo ya vyakula vya viwandani hatuzimii kiivyo, ni mambo ya utamaduni tuu.
Unajua mtu akiwa already injected na bad ideology kuhusu asili yake anakua kituko, wakenya ni mfano mzuri wa twisted minded people sababu tu wazungu wanafakamia makemikali na wenyewe ndio wanaona ndio standard lifestyle kumbe ni ulimbukeni.

Mkenya yupo radhi aharibu pesa kwa nauli kutafuta supermarket au mall ili afanye shopping like a white man wakati hiyo bidhaa ameiacha kwenye vibanda vya kibera hiyo ndio prestige yao.
 
tumia kiswahili.....we practice modern dairy farming were quality artificial insermination is imported from Holland then used in our cows and we get better breeds
Answer my question. I don't need blah blah.
 
Back
Top Bottom