The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,849
Ok, endeleeni kupinga serikali yenu, sisi tuna brt, modern airports, jnhpp, na the mighty electric sgr. Poleni wakenya.Kwa hivo kunitusi ati mjinga ndio respectful ππ Ile siku mtakuwa accountable for whatever is going on in your country ndio nitawaheshimu. Lakini kusifia serikali kila wasipotekeleza wajibu na majukumu na wakiwapa lawama mnaamini tu bila kubisha, hivo ndivo hela zako wewe zitaliwa bila huruma. Hio sio kupenda serikali, huku Kenya tunapinga serikali sio kwa chuki ila tunataka nchi yetu iendelee. Hio ndio patriotism ya ukweli. We donβt praise the government for doing what it should! Sio msaada, ni majukumu!
Uwakumbushe leo ni J3 siku ya kaziKuna mkenya mmoja huwa anasema haijai, ila hawa jamaa tumewachapa kweli kweli kwenye sgr mpaka siku hizi hawataki hii battle tena.
Kitu modern ni modern tu. Wanakwambia operating speed ni 160kph halafu easily una cruise na 170kph.
Sisi tuna train yenye speed ya over 200kmhr-ΒΉ wao bado wanaandamana, eti Ruto must Go, haya majinga mpaka yatufikie labda vizazi vitatu vijavyo.
Ulete na updates ya kuvaa koti kabisa, maana humo ac. zake sio za dunia hii, mufindi ikasome ndani.
Kuanzia moro mpaka dar jamaa wanatembeaga mpaka 176kmKitu modern ni modern tu. Wanakwambia operating speed ni 160kph halafu easily una cruise na 170kph.
Wakati ile train ya 1970s wamewaandikia 180kph hata 130kph haiwezi kutoboa.
Huyu nyoko aache unafiki! Mpumbavu sana huyu mtu!sio mm nimesema ππ»ππ»ππ»ππ»
View: https://x.com/habaridigital_/status/1873463435033497724?s=46
Wenzako wako barabarani wanaandamana wewe uko huku unaandika ushuzi wa kinyang'auπHii battle huwa imejaa watanzakundu wakipigana kuutetea huu ushuzi, ndio maaana wanatumia nguvu nyingi. Wakenya tunakuja kupoteza masaa baada ya kazi. Hamna competition hapaππView attachment 3188659View attachment 3188662View attachment 3188661
Kuna nn hapa hebu tuambie au ni hiyo mbuga mliyoifichaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Watanzakundu wanaishi kama nguruwe, angalia muonekano na mpangilio wa NBO kutoka angani alafu linganisha na lile jehanamu linaitwa Dar slum.View attachment 3188656
Haya ndo Mambo nataka kusikia sasa
Tatizo lako huwa unachuki za kike huwezi ona πππKuna nn hapa hebu tuambie au ni hiyo mbuga mliyoifichaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Mmechelewa sana kupata hizo drones za Mturuki.
Ziko ngapi mkuu, watanzakundu hamuogopi?
Those are Turkish drones, second Tanzanian army has no drones. Prove me wrongMmechelewa sana kupata hizo drones za Mturuki.
Hapa kwetu hata kuzipigia one two.. One two pahala tayari