Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The progress of 17 buildings with 17 floors each in Kisumu.

They are currently in second floor. I took the photos from United mall

IMG_1032.jpeg


IMG_1033.jpeg
IMG_1034.jpeg
IMG_1035.jpeg
IMG_1036.jpeg
 
do u think ni kweli hizo ni tension zenu wenyewe wajinga nyie eti kalipwa 1m usd nawewe unaamini kweli 😂😂😂😂😂😂

yani munalazimisha mpaka gari amabayo sio yenu eti iwe yenu yote muonekane, si mungetoa hio plate number ya tanzania sasa kama munajiamini kondoo nyinyi
Wacha wivu mzee! Diamond kalipwa $1 mln!
 
I mean no malice to nobobdy! Ila mkenya yeyote ambaye akili zake zinatumika vzr,Atakubaliana na mimi kwamba ukitoa COOKED GDP/PAPER GDP! Kenya imepitwa na TZ kwenye kila kitu yaan.....
1.Entertainment(Music industry etc)
2.Health(infrastructures,medical capabilities etc)
3.Transport(E-Emus,an outstanding brt network,15 STATE OWNED PLANES etc)
4.Agriculture(This speaks for itself)
5.Sports(we host Africa's 5th best football league! That alone is more than enough)
6.Less indebted
7.Less corrupt
And so on and so forth.......
 

Hadzabs are some of our tourism attractions. They have never been exposed to anything concerning modern life style and foods. Sisi tunapiga pesa kwa kuendelea kuwa na jamii hii, wewe laza matacone tu. 😂😂😂
 

😂😂😂😂 Utakua fala kama mpaka saivi hujui hao ni waigizaji 😂😂 Yaani kwa akili yako unaamini hawajawahi kufungua soda? Wahadzabe wanapiga pesa za mafala unahitajika mpaka dollars elfu 1 ndio upate access ya kuwaona na huwaga sura ni zilezile videos zao zaidi ya maelfu lakini ni wale wale, wewe mpaka dudukwe kakuzidi akili anakula madola tu
 
Kunyaland hukuti hii kitu, wangeshakula mpaka kwato, Tanzania watu wameridhika na wanaheshimu sheria, Kunyaland ni mshale mmoja the rest inakua history

Imagine huku ni bush interior close to national park lakini kuna nyamba nzuri tena zina umeme

View attachment 3187200
Tanzania tamu sn haki ya mama.
 
😂😂😂😂 Utakua fala kama mpaka saivi hujui hao ni waigizaji 😂😂 Yaani kwa akili yako unaamini hawajawahi kufungua soda? Wahadzabe wanapiga pesa za mafala unahitajika mpaka dollars elfu 1 ndio upate access ya kuwaona na huwaga sura ni zilezile videos zao zaidi ya maelfu lakini ni wale wale, wewe mpaka dudukwe kakuzidi akili anakula madola tu
Waigizaji kabisa 👌
1000003566.jpg
 
Back
Top Bottom