Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar
20241221_113150.jpg
 
Hizi ni accounts za mchongo. Hivyo Central African Republic, Burundi, South Sudan, Malawi, Congo Brazzaville, Bukina Faso, Cameroon, Uganda, Niger, Sierra Leon, Liberia, Togo and many others countries are ahead of us.

In the last 10yrs tulikua tuna projects za maji ya billions of dollars zaidi ya $6B. Hizo ni accounts za Wakenya in their attempts kutu-undermine mitandaoni.

Maana tunaambiwa sisi ni least developed, yet tulivyo navyo hawana.
 
Kama kawaida yenu, when the data is not in your favor lazima mulie it's fake. Tushawazoea.
 
Back
Top Bottom