Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Show us something like this bongolala.
View attachment 3181771View attachment 3181772
If I come here and claim that there are 100 buildings under construction in Eastleigh, everyone would agree with me because ni kitu kinaonekana. Sio kuja hapa na kipicha cha vijumba viwili under construction na kuanza kutupigia nayo kelele
Usilazimishe kila kitu tufanane. Kenya bado sana. Kenya ni taifa changa bado mnahangaika na njaa kwanza.
 
Mwambie kariakoo pekee ni kubwa kuliko Nairobi CBD
Again, false. Mnaropokwanga sana bila facts. Hakunanga kitu mnaelewa.

Screenshot 2024-12-21 210238.png
Screenshot 2024-12-21 210247.png
 
diamond kalipwa 1m usd in mombasa per night show yule pozee anafanya kazi gani😂😂
View attachment 3181875
Alafu kuna wehu wanabishia hicho kiwango, ndio maana wasanii wao wananjaaa kali, mijitu haijui hata thamani ya mtu.

Safi sana Diamond umetoka CAF kukusanya mpunga, kabla ya CAF ulikua South kukusanya mpunga, kabla ya South ulikua kwa wajinga kukusanya mpunga, now umerudi kukusanya mpunga.

Watu wanachukulia simple.
 
Back
Top Bottom