Wamezoea kudanganyana hawa.Kwa akili yako inamake sense muwe na 2 fold of energy cost compared to Tanzania halafu products ziwe cheaper kuliko Tanzania?
View: https://x.com/jumaf3/status/1617801777738547203?t=tpCIZ2BX5dhRY6iAHE0ZHQ&s=19
Vyuma vinashuka tuu π₯
Kalilie Chooni ππππTayari nishaona Nice & Lovely lotion, Kericho gold tea, gofruit juice. π€£ π€£ π€£ Na bado munajidanganya hakuna products za Kenya bongoslum.
Zaidi ya Royco na Omo sijaona biashara ya mkenya TzHivi ni vitu gani? Mbona ndio nasoma hapa saiv!?
Hebu tuone hizo products zikiwa kwenye shelf za supermarket.
Hakuna anaenunua dairy products kunyaland... Huku ziko kampuni nyingi sana na bei rahisi.. UG alijaribu na lato akafeli vibaya sana amekimbia.
Velvex tissue za wahindi wana kiwanda mikocheni.. Softcare ya wachina wana kiwanda kibaha.
Hizo juice ndio zimejazana hapa za no, azam, jambo etc... Za nje common ni moja tu ceres ya SA. Hakuna bidhaa ya kunyaland kwenye shelfs za wabongo
We ng'ombe kweli contrade ndio nani? ππππ
Mwaka sio siku nyingi na ni Cha kwanza TanzaniaKimeanza siku nyingi karibia mwaka sasa.
Hapo politician watapiga kibunda harafu watajenga kidibwi labda wawauzie wachina mradi kama kawaida yao1200MW coming up soon. 700MW dam and a 500MW solar plant at the same site.
View: https://x.com/moneyacademyKE/status/1868128856730976281
Leta data za knbs sio hizo takataka za akili mnemba
Nyang'au wanaumia sana wakisikia Ruto anasema hivyo hadharaniπKalilie Chooni ππππ
View: https://x.com/K24Tv/status/1865395947959722310?t=gxpDX3b1eoGgeZ-6JVHspw&s=19
Wapumbavu kweli hawa watu, ni hivyo tu BOT wapo slow kwenye kutoa taarifa ila taarifa genuine za BOT zinaonesha Tanzania ndio inaiuzia Kunyaland zaidiWamezoea kudanganyana hawa.
Ni national debate mpaka kesho πππNyang'au wanaumia sana wakisikia Ruto anasema hivyo hadharaniπ
Ngoja nikuambie ukweli, hizo products hazipo Tanzania na kama zipo hazinunuliki kabisa, mtaani hazipo.Atakuambia they don't use those products yet zimejaa supermarkets zao and are being restocked every now and then
Me mwenyewe hata sielewi ni vitu gani, Nicxie anakuambia vimejaa bongoπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Hivi ni vitu gani? Mbona ndio nasoma hapa saiv!?
Hebu tuone hizo products zikiwa kwenye shelf za supermarket.
Hakuna anaenunua dairy products kunyaland... Huku ziko kampuni nyingi sana na bei rahisi.. UG alijaribu na lato akafeli vibaya sana amekimbia.
Velvex tissue za wahindi wana kiwanda mikocheni.. Softcare ya wachina wana kiwanda kibaha.
Hizo juice ndio zimejazana hapa za no, azam, jambo etc... Za nje common ni moja tu ceres ya SA. Hakuna bidhaa ya kunyaland kwenye shelfs za wabongo
Muulize rais wako alimaanisha nn kusema Tanzania inaongoza kwenye trade EA.Ebu tuonyeshe hizo products za bongo zile zinasumbua in Kenyan supermarkets tucheke. π€£ π€£ π€£ Tayari tushaona products mingi sana manufactured in Kenya kwa supermarket za bongoslum.
Ebu nionyeshe just three products from bongoslum hapa kwa hii video nicheke. π€£π€£π€£
View: https://www.youtube.com/watch?v=nb3ufXlmXrY
No money, unfortunately1200MW coming up soon. 700MW dam and a 500MW solar plant at the same site.
View: https://x.com/moneyacademyKE/status/1868128856730976281
Like which products?Many product in your supermarkets are manufactured in Kenya.
tunarudi kwenye concept yetu ni kua kwanza treni ziwe za umeme na tuliahidiwa kua umeme wa treni utajitegemea na hata ukikatika kutakua na powerbank behewa moja ambalo litatembeza treni mpaka km 60 ili isilale porini πππππKwenda zako huko,hii Teknolojia ya Hybrid ni ya Africa? Mbishie Kadogosa.
Mwisho huwezi jilinganisha na Ulaya by any means