Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂😂😂 kweli unaguswa wewe. Diamond ameanza kutumia hiyo wasafi hata kabla hajatoka kimziki. Hii hapa picha ya nyumbani kwao tandale Enzi hizo 👇🏾View attachment 3174996unaweza kuona hizo kuta zilichorwa logo ya wasafi tangu kitambo hiyo, and guess what diamond ametoka kimziki 2008. Unasema willy paul kajiitamsafi kabla ya wasafi kuwepo.? 😂😂😂 kocho kweli we jipumbavu.
😃😃
 
Kati ya aliyekuwa na jiko la mkaa na jiko la umeme nani kaendelea nijibu hilo swali kwanza.
Hiyo "maendeleo" ya kuwa na electric train mbona haijasaidia Tanzania kuwa na idadi kubwa zaidi ya masikini ukanda huu.
 
Back
Top Bottom