AI generated images? Show us your passport with proofs. Tuoneshe passport ambayo ipo stamped.It seems in Tanzania having a passport indicates some sort of achievement.
And yes dude not only do I have a passport, but I actually use it to travel the world including your city Daresaalam and Zanzibar
Landing in Dar
View attachment 3174880
Take off from Dar
View attachment 3174882
Landing in Zanzibar
View attachment 3174884
Huyu naye eti anajua logbook ni nn, wakenya kwa ku fake life 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Does he really know what a logbook is? Kweli tunadeal na vilaza!!
Narudia, Willy Paul alijiita Msafi kabla Wasafi kuwepo.Alishawahi omba aingie wasafi akapigwa chini ndo akawa anajiita msafi
Hii ni scene kwenye Netflix series inaitwa MADNESS.Mama sa100 au.?
Nenda YouTube utaona dogo akiomba connection kuingia wasafiNarudia, Willy Paul alijiita Msafi kabla Wasafi kuwepo.
Mikopo bucked Kundustan madafu currency 😂😂😂👇👇
View: https://x.com/BD_Africa/status/1866898272255611177?t=S0i7ebJVvlOHXsumCy4mgQ&s=19
😂😂😂 kweli unaguswa wewe. Diamond ameanza kutumia hiyo wasafi hata kabla hajatoka kimziki. Hii hapa picha ya nyumbani kwao tandale Enzi hizo 👇🏾Narudia, Willy Paul alijiita Msafi kabla Wasafi kuwepo.
Wacha ujinga, ulichagua picha zinazokufurahisha ndiyo utume humu, kama mm nije huko slum city alafu nichague picha ikionesha ma slums tupu ndiyo nipost humu, kwa bahati mbaya hizo picha umepost hakuna slums kama kwenu, na kama unabisha niweke hapa video ikionesha ma slums ya Kenya wakati pax aki land at Jua Kali international airport.It seems in Tanzania having a passport indicates some sort of achievement.
And yes dude not only do I have a passport, but I actually use it to travel the world including your city Daresaalam and Zanzibar
Landing in Dar
View attachment 3174880
Take off from Dar
View attachment 3174882
Landing in Zanzibar
View attachment 3174884
Muite tu choko wala haina shida, wanatumia nguvu nyingi kuwapaisha wasanii wao lkn nature inawakataa, hivi kweli leo hii tuongelee Mondi vs willy Paulo? Huu ni ujinga.😂😂😂 kweli unaguswa wewe. Diamond ameanza kutumia hiyo wasafi hata kabla hajatoka kimziki. Hii hapa picha ya nyumani kwao tandale Enzi hizo 👇🏾View attachment 3174996unaweza kuona hizo kuta zilichorwa logo ya wasafi tangu kitambo hiyo, and guess what diamond ametoka kimziki 2008. Unasema willy paul kajiitamsafi kabla ya wasafi kuwepo.? 😂😂😂 kocho kweli we jipumbavu.