Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Najua mambo ya magari kukuliko wewe Yemeni Refugee. What I’m saying is why are people importing trucks when there is Sinotruck in Tz, Sinotruck ilifungwa ama?
sino truck ni kampuni nyingine so haina maana kwasababu sino truck wana assemble plant yao watu wasinunue gari za kampuni zingine biashara haiko hvo
 
Mombasa giving Dar is slum sleepless nights
Screenshot_20241209-180201.jpg
 
sino truck ni kampuni nyingine so haina maana kwasababu sino truck wana assemble plant yao watu wasinunue gari za kampuni zingine biashara haiko hvo
Tangu Sinotruck ianze kuunganisha magari haijawahi uza hata magari kumi.
 
Nairobi is the dirtiest city in EA bcz formerly it was under wazungu reign, na ndiyo maana ukaona vile vi apartments viwili vitatu walivyokuwa wanapiga picha na kutupia kwenye mitandao ya kijamiii kuongopea watu, lkn baada ya kuachiwa hawa wanuka nnya wakaanza kujenga ma slums everywhere.
Lile jiji linanuka uvundo aisee
 
I used to tell these witches that all the Marcopolo buses owned by Katarama were bought from Kenya na walinipinga. It’s good the truth is now coming out clearly.

Buy Kenya build Kenya.
1734004288834.jpeg
 
Back
Top Bottom