Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar savours medical gains

IMG_0140.jpg
 
Also, congrats to Azam TV...nimependa sana upeperushaji wao na pia jinsi wanavyoinyorosha Multichoice ya Afrika Kusini...itabidi tumeiinua ili DSTV na GOTV ziwe ujinga humu East Africa....I hate South Africa sio siri...
Mkenya wa kwanza kuwa na positive mind abt tz ..uko real sana mkuu i wish wakenya wote wangekua real ka wewe..gud boy
 
Sema Itakuwa Ndaaani ndaaaani ndaaaani saaana....The Nick Salat famous way.
huo msemo niliupata wakati ule wa campaign za kisiasa hapo kenya.

nilikuwa nafatilia sana siasa zenu.

kuna ule wa NASA"tibim".

nimetokea kuupenda sana.
 
Also, congrats to Azam TV...nimependa sana upeperushaji wao na pia jinsi wanavyoinyorosha Multichoice ya Afrika Kusini...itabidi tumeiinua ili DSTV na GOTV ziwe ujinga humu East Africa....I hate South Africa sio siri...
 
yeah... .They have a great team......sisi kama Gor tunaweza sign one of their players.........lakini okombe lazma ingelala tu Kenya.....
Huyo player labda asiwe anatakiwa na Team za Tanzania Mainland. League ya Bongo inaongoza kwa kulipa vizuri E.A ndyo maana mchezaji yoyote bora kutoka ligi yoyote E.A huwa akitaka malipo bora lazima aje Bongo.

Refer kwa Danny sserenkuma alikua top scorer wa Gor na best player wa KPL akaja Simba.

Imagine clubs uku zinatoa mpaka $100,000 ku sign player, hii sini budget ya mwaka mzima ya Gor
 
Bongo masikini kwenye takwimu tuu but uhalisia kenya hawatugusi hata chembe kwa kuwa na good life
 
Huyo player labda asiwe anatakiwa na Team za Tanzania Mainland. League ya Bongo inaongoza kwa kulipa vizuri E.A ndyo maana mchezaji yoyote bora kutoka ligi yoyote E.A huwa akitaka malipo bora lazima aje Bongo.

Refer kwa Danny sserenkuma alikua top scorer wa Gor na best player wa KPL akaja Simba.

Imagine clubs uku zinatoa mpaka $100,000 ku sign player, hii sini budget ya mwaka mzima ya Gor
haha... he went to Simba on a free transfer.... his highest career stint was while playing for Gor Mahia... the most successfull club in East & Central Africa. it only took him 5months at Simba to realise it was a shit club and left
 
Back
Top Bottom