concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
Kizungu ni lugha ya walevi ndo maana umeshindwa kuelewa . Leta latest show ya msanii wa Kenya si umesema sisi hatupat show ila nyinyi mnapata. Kukumbusha tu diamond yupo Paris anashusha vituSoma nilichoandika uelewe. Wacha kubwabwaja. Ama kizungu ndio ngumu?