chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,125
Sasa afanye colabo na diamond si kama diamond anajirudisha underground, hana energy ya kucope na diamond kwenye game, hata raivany hakustahili kumpa colabo, anahangaika kusound kama bongo flava lakini bado hata Singida tu watu hawamjuiYaani huyu jamaa alijaribu kujipendekeza kuomba asainiwe wasafi na kutaka collabo Diamond akamkatalia ndipo beef ikaanza!