Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,910
- 103,771
Hiyo tunayoiona ni nini kijana?Have you ever seen an expressway Tangu uzaliwe?
Msikize Etana alivyoongea. Etana sii Mkenya ni Mjamaica. Wasanii wenu Wana dharau na soon watakiona. Mchezo ushaanza.
View: https://youtu.be/jdAUfzQvfaU?si=7GeBumZIdvAKxCgw
No brainer, si tuko festive season, au hujui?Watu Tanzania wanasafiri si mchezo. Treni zote za kwenda Dodoma Kesho zimejaa.
View attachment 3173140
Toka tuanze tunajaza kila siku. Hebu tuonehse za Kundustan.No brainer, si tuko festive season, au hujui?
One of the indicators of development ni proper infrastucture facilities, si kila siku nyie mnatupugia kelele kuhusu sgr nginja nginja .? 😂😂😂So just because Tanzania iko ba electric train inamaanisha Tanzania imeendelea? Ulisoma wapi kwamba kuwa na electric train ni kigezo Cha maendeleo? Uwepo wa electric train Tanzania mbona haijasaidia Tanzania kuongoza Kwa umasikini ukanda huu? Engage your brain bongolala.
Secondly, how's $32b pesa kiduchu in a country of only 1.2 million people? Mibongolala ni mibongolala tu
Inaonekana uko idle sana, ebu anagalia alafu utuambie.Toka tuanze tunajaza kila siku. Hebu tuonehse za Kundustan.
Msikilizeni baba yenu hapa Ruto. President has lot of information than you Teargas nairobae and NairobiWalker
Anajua vizuri what is going on in Tanzania
View: https://youtu.be/U-apj_qBrok?si=5m4f2CZHecHHx1ke
Msikilizeni baba yenu hapa Ruto. President has lot of information than you Teargas nairobae and NairobiWalker
Anajua vizuri what is going on in Tanzania
View: https://youtu.be/U-apj_qBrok?si=5m4f2CZHecHHx1ke
Website yenu is very slow. And very difficult to bookInaonekana uko idle sana, ebu anagalia alafu utuambie.
Check Simple Booking hapaInaonekana uko idle sana, ebu anagalia alafu utuambie.
Silly excuse.Website yenu is very slow. And very difficult to book
Amini upendacho. Uzuri ni kwamba haitobadili chochoteData gani? Data na uhalisia tuamini nini?
Usikute wewe ni Ugaliman unajisafisha na data.
Hivi wanamabehewa mangapi ya premium?
Just give us the screenshot like 👇 👇 👇 Maana nimeshindwa kuona how Kenyans Book on your fossil analog trensSilly excuse.