Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani hakuna siku nishawai ona hii bridge ikiwa na magari mengi kushinda expressway ya Nairobi alfu mpo humu mnajifanya kushangaa eti expressway haina magari.

Mimi nashauri uachane na hii topic maana unaonyesha upumbavu na chuki ulionao dhidi ya Tz...
Nikupe mfano wa Nyali bridge au makupa bridge ya Mombasa umuhimu wake kwa wakazi wa Mombasa ndo ilivyo kwa umuhimu wa Nyerere bridge kwa wakazi wa kigamboni.
Hio ni bridge..lazima mtu apite hapo maana ni shortcut au atumie ferry ambayo haibebi maroli au azunguke km kadhaa kwenda kigamboni.
Haya sasa tumia akili kidogo

Hiyo Expressway ni failed project...mlijenga tu kupendezesha mji lakin hakuwa na umuhimu sana...bora hata mngejenga light rail, metro, BRT au Subway kuunganisha JKIA na Nairobi...na hamwezi fanya hivyo maana mikataba yenu itawabana
 
Na kwa taarifa yake sio Africa tuu Hadi Duniani huko tunatambuliwa.

Russia na Tanzania wanatarajia kuandaa filamu ya harakati za ukombozi mwakani.

Mambo haya ya ukombozi yameghariku muda , Rasilimali watu na Fedha na kutuchelewesha sana kinaendeleo lakini tumepata Heshima.
 
Soma nilichoandika polepoole alafu u some ukichoandika utaona nani mwenye chuki kati yangu na wewe.
 
Unaelewa huku kwetu sisi vijana tunamaanisha nn tukisema mnyamwezi? Mnyamwezi maana yake mjanja, au mtu kutoka mbele huko unyamwezini yn Europe au America, jaluo wewe.
Wewe Siku utakuta street Kenya na jina ya Msukuma ndio uongelee Wajaluo. Kazi yenu ni kupea streets zenu majina za Wakenya, sijui Wanyama street, Obama street.
 
Maelezo marefu na Kenya yako ya UTOPIA.

Mngekua ahead msingiekua humu kujieleza sana maendeleo ndio yangejieleza, bahati mbaya habari tunapata kila kukicha mko barabarani mkililia maisha magumu.
 
Comparing the incomparable as usual.

Lipa tolls acha kuandika magazetii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…