Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Image
Image
 
Baada ya hotuba ya Ruto pale Arusha naona kama nyang'au mmechangayikiwa hivi; ha ha ha😁
Yani wamekuwa na inferiority ya ajabu sn, ni bora Ruto asingewastua mapema, wamekuwa kila kitu wanataka kushindana, sasa msanii wa Kenya ni wa kushindana na msanii wa Tanzania? Eti will Paulo, hata kumjua nimemjua leo.
 
Huyo Etana anamjua nani, kwanza sio lazima kuwaita wasanii wa bongo waje kwenu ni shobo zenu na nikuambie tu hamtoweza kuacha kuwaomba wanamuziki wetu waje huko cz wakenya wanapenda mziki wa Tanzania kuliko mziki wowote, chuki yako haitosaidia kitu, kuhusu dharau ni kawaida kwa wanamuziki wakubwa ukiwaletea upuuzi wa kuvunja makubaliano hafanyi show.
Wakenya tunamjua tunamtambua na ndio kwa maana ame perform Kenya multiple times. Huyo diamond wenu ajidishi na hizo performance zake za kipuzi za kulipsync, hata ni vizuri hakuperform jana. 🤣 🤣 🤣
 
Yani xpress way imewavua nguo kabisaa aiseee, road ina gari mbili alafu chini ndiyo kuna uchafu wa probox kama wote, ili mchina arudishe pesa yake itampasa aimiliki hiyo road kwa miaka mingine 100 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom