I gotta admit that the Zanzibar national team was a very strong team. The lads did not travel by boat to Mombasa then SGR for Cecafa tournament for nothing.
Not government of Tanzania?
Hii gari imekulishwa filter mpaka inakaa toykurasini interchange
View attachment 653144
Kukosa hojaHii gari imekulishwa filter mpaka inakaa toy
Nadhan baada ya collo kinachofuata ni mimi kukushow how naweza kulisha ukoo wenu....ndugu chokoraa wewe unafaa kulipa karo kwangu nikufanyie tuition.........habari ya uswazi kugumu?
Chokora vipi?Nadhan baada ya collo kinachofuata ni mimi kukushow how naweza kulisha ukoo wenu....![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kenyan poor people lyk u...huwa unanisikitisha tu
Poa tajiri vip kibera wazima...?Chokora vipi?
Hii gari imekulishwa filter mpaka inakaa toy
Kenya hakuna hivi vitu.hiyo sio filter inaitwa HDR{high dynamic range} ambayo ni setting ya kawaida ya camera.
Yani currency yenu week sana
Nimeongelea currency wala so uchumiIndonesian Rupee is weaker than our LDC's currency..
How about their economy against the developed country like Kenya! ??
Nasikia GDP yao ni +900bn $
Na per capita ni +3,000$...
Nadhan baada ya collo kinachofuata ni mimi kukushow how naweza kulisha ukoo wenu....![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kenyan poor people lyk u...huwa unanisikitisha tu
Kumbe uimara wa shilingi kama ya kenya ni urembo tu sio ishu.Nimeongelea currency wala so uchumi
Expensive wakati nyie mna hela nyingi na uchumi wenu wa kati mnashindwaje kulipia dstv ????Itulete EPL....azam tutanunua kesho..Ds ni expe sana
Sema Itakuwa Ndaaani ndaaaani ndaaaani saaana....The Nick Salat famous way.FYI azam tv signed a 3yrs contract with cecafa,so next season of cecafa tournament, azamtv itakuwa ndani ndani ndani....![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
meza wembe.
# cosmetics tu sio! Hahaha.. Atakuja kama currency yao IPO juu.. Ukimletea scenario hiyo hiyo currency superiority inakuwa obsolete.. Anageuka.. Sio ishu! Mwanzo nimepata shida sana.. Sasa hv nimewazoea..Kumbe uimara wa shilingi kama ya kenya ni urembo tu sio ishu.